We uliyeanzisha thread ni kibaka unataka tupite na milioni zetu uneemeke,mtaa wa Congo vibaka hawawezi kuisha,labda useme wamepungua.Mwezi wa 5 mwakahuu nilipita mitaa ile nikiwa na laki 6 kwenye kibegi kidogo,lilifanyika jaribio la kutaka kuniibia but walishindwa coz teknic walioitumia niko aware nayo,ile ya mtu kukupiga kikumbo makusudi huku kakukanyaga mguu halafu mwingine anakuibia,so ningekuwa siijui ningekuwa nishalizwa