Mambo ya Kanye West Balaa

duu kuna uzushi nilikia kuwa kanye si rizki,naona ulikuwa wa uongo,jinsi alivyong'ang'ania hiyo maneno!
 
Mambo ya fweza hayo,hata kama si riziki maadamu kuna rupia utaabudiwa wee mpaka mwisho wa fweza zako,nimeupenda huo mkate wa bofulo aka msaada tutani,ngoja nikauze nazi zangu kisiju bana!
 
Hii mambo inatisha, watu wa bara sijui wanakula kwa mchuzi wa nini!! Wenzetu wa pwani tumeambiwa mchuzi wa pweza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…