Umeona eh!
Wapo lakini tulizozoea kuziona ni za kwenye magazeti na hao hawakutoi mpaka upenyeze bahasha ya khaki, sasa hao wanyama wenyewe hawatoi bahasha!Hivi kuna wapiga picha wa hapa nyumbani wanaopiga picha kama hizi? kama wapo ningependa kuziona kwa kweli
Wapo lakini tulizozoea kuziona ni za kwenye magazeti na hao hawakutoi mpaka upenyeze bahasha ya khaki, sasa hao wanyama wenyewe hawatoi bahasha!
Tatizo letu hatuamini katika uwekezaji utakaokinufaisha kizazi kijacho, na hata tunashindwa kuwekeza kwenye mambo yanayoweza kurudisha gharama katika miaka 15 walau. Tunataka kuekeza leo na kuvuna leo na ndio maana local blogs zote na websites usipomuandika Wema na Daimondo hakuna atakayefuatilia.Lakini nadhani ni bora kama wangekuwa na portfolio websites, au kama kuna collective libraries, maana ni documentation nzuri. Also biashara ni matangazo, watu wakiona ulizopiga ni rahisi hata kukupa kazi.
combination nzuri ya image na timing (sundown) hapa nahisi mpiga picha alisubiria muda mrefu sana kuweza ku-capture picha hii huku jua linazama...nice pic!!!!!...kwa wajuzi wa mambo hebu tia neno hapo!View attachment 251761