Mambo ya JF na zama zake

A room for you two uduguuu kwakweli mmalizane tu usituletee mambo ya Mahondaw tukapata la kuongoea mjue! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£!
Yani siwaletei hata moja nimefundwa mie
Mume anahitaji malezi sio mambo ya kipuuzi!!
Wao watasugua gaga sana mbinu zao hazitofanya kazi.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nitamuacha Kantry siku nikikuta anamla shoga ila hawa yutiai sugu tutachoma powercef πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimejiunga JF nikiwa Form four 2017

Time flies

JF nimejiunga baada ya kuvutiwa na nyuzi za Mshana Jr.
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣
Dada mume simuachi kwanza sijamfumania ni tetesi 🀣🀣🀣🀣
Hapa naangalia Kama sutra moja hivi nimkoleze mume πŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈπŸ€Έβ€β™€οΈ
Wakinga hatuachiki kizembe ni majeuri sana
 
Hebu nikaendelee kufukiza vizuree dawa ikuingie haswaaa Haya ndo maneno sasa πŸ€“!
 
Kamasutra umenikumbusha KLM lolπŸ˜‚!
 
Sitaki kumpa kiki uduguuu mwenyewe ndio nimemuona leo tangu mchana kanikomalia balaa!
Jf kuna muda unabaki unacheka tu!!
Afu ukute mtu mzima kaamua kujitoa ufahamu kusumbua watu 🀣🀣🀣🀣
Humu ilitakiwa ukiwa na id moja ubaki nayo hio hio ujinga ungepungua
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…