ISHA RAMADHAN Member Joined Sep 28, 2014 Posts 16 Reaction score 9 Jun 29, 2015 #3 Hahaha anaenda kumpelekea zawad wife
S Sangomwile JF-Expert Member Joined Aug 17, 2012 Posts 3,227 Reaction score 1,104 Jun 29, 2015 #4 Acha wabebe, unatoa laki unapewa laga mbili tu.
Ukwaju JF-Expert Member Joined Oct 19, 2010 Posts 13,384 Reaction score 11,268 Jun 29, 2015 #5 Sangomwile said: Acha wabebe, unatoa laki unapewa laga mbili tu. Click to expand... halafu unaweza kukuta ni sherehe ya kilokole (haina laga) lakini kwa kiherehere chao wakataka kiwango cha chini kwa single eti kiwe 100,000/= (laki) wanabania kupamba ukumbi na kuvalisha maviti manguo, na kununua bati na kiwanja cha maharusi
Sangomwile said: Acha wabebe, unatoa laki unapewa laga mbili tu. Click to expand... halafu unaweza kukuta ni sherehe ya kilokole (haina laga) lakini kwa kiherehere chao wakataka kiwango cha chini kwa single eti kiwe 100,000/= (laki) wanabania kupamba ukumbi na kuvalisha maviti manguo, na kununua bati na kiwanja cha maharusi
C Capt Nemo JF-Expert Member Joined Feb 26, 2015 Posts 1,445 Reaction score 681 Jun 30, 2015 #6 acha jamaa ajilipe maana haya mambo ya "minimum mchango"!!!!
OLD KOROGWE JF-Expert Member Joined Jan 25, 2015 Posts 556 Reaction score 207 Jun 30, 2015 #7 Atachana suruali sasa, kah!
C cellinityo-murdch Senior Member Joined Mar 26, 2015 Posts 190 Reaction score 23 Jun 30, 2015 #8 garama za kadi zipo juu kwa hiyo unabeba kinacho bebeka ha ha haaaaaaaaaaaaaaa