Mambo ya FDLR na Rwanda

Just for your information!RPF ilipigania WanyaRwanda warudi kwao kwani serikali iliyokuwepo ilikuwa haitaki warudi;na alikuwa anatoa the same reason kama unazotoa hapa, eti hakukuwa na resources?really? who is entitled to the nation resources? WanyaRwanda wote wana haki sawa kwenye resources za nchi, hivyo sio haki kubakisha some of them out as refugees, on the otherside sasa hivi hawa wanabembelezwa warudi tu share the little we have, na tusaidiane kuendeleza nchi yetu.
hapo kwenye red naona umekuwa touched sana, hahhhhhhhhh!kumbuka it was you, uliyetoa ufafanuzi kuwa FDRL ni mabaki ya askali wa Habyarimana, si ndio?
Sasa ni sili kuwa majeshi ya Habyarimana yalipigwa?...najua inakuuma sana lakini that what happened.
Sasa tumepigana, wakashindwa, wakajaribu kujiorganize tukawapiga tena, then leo ndio wanakuja eti wanataka kuweka masharti ya jinsi ya kurudi?? That`s funny...
Being RPA is not an insult to me, manake jeshi hilo lina credibility kubwa sana barani Africa not only in Rwanda;this can be proved by Darfur residents and Central Africans.
 

1. Let me agree with you kuwa Rwanda is peaceful, just like North Korea is peaceful and zimbabwe is peaceful. Tuishie hapo.
2. Kigali sio Rwanda, kigali ni showpiece city kwa ajili ya propaganda za RPF kuonyesha dunia kuwa all is well in Rwanda. Siku hizi mmeacha kumwaga wanajeshi mitaa ya kigali kuanzia saa 12 jioni kwa ajili ya "ulinzi" (read: kuzuia mapinduzi)? Mmeacha kukusanya watu "waliovaa hovyo" ili wasionekane CBD na wazungu? Capital city ya nchi yenye umasikini uliokithiri kwa asilimia zaidi ya 80, kufikia hatua ya wananchi wake kukimbilia maporini tanzania kuishi na nyani kama wahamiaji haramu hauna Ombaomba wala homeless people, halafu New york, london, na miji mingine mikubwa ya nchi za ulaya zinazofadhili rwanda, unakuta ombaomba na homeless people. Feel free to believe in what you see in kigali.
3. South africa haikuwahi kuwa na matatizo ya kiuchumi kutokana na harakati za ANC, bado ilipiga fedha kama kawaida, ingawa matunda yake walifaidi makaburu. likewise, sina shaka kama wewe na english speakers wenzio mliorudi Rwanda baada ya "genocide against tutsis" mnafaidi regardless ya harakati za FDLR. lakini wapo wanyarwanda wenzenu ambao hamuwezi kuongea nao bila translators, hao ndio hawajali kama kigali inafanana na new york au switzerland, kwao bado hawana uhuru. Take for example Kizito mihigo, huyu ni tutsi genocide survivor, alikuwa very close to the first family especially mama kagame, amekulia kigali na si Tanzania kama nyie, je yeye hayo maendeleo ya kigali hayaoni? kwa nini leo hii yuko ndani for collaborating with FDLR among other things? Maendeleo ya kigali hayakumtosha mpaka aungane na FDLR walio maporini? Huyo ni mmoja tu among many that are accused of collaborating with FDLR, ndio maana nikafananisha FDLR na ANC. Hata enzi za makaburu pia watu weusi hawakujali johannseburg au capetown ina barabara safi kiasi gani, walikuwa wanajiunga na harakati za ANC ingawa ANC ilikuwa "maporini" mazimbu morogoro!
Maendeleo ya majiji hayana maana yoyote ile katika stability ya nchi, sidhani kama watu wa tripoli walikosa barabara safi ndio wakampindua gaddafi, wala sidhani cairo walikosa sky-scrappers ndio wakamuondoa mubarak.
 
Criticsm ya sera hufanywa kwenye demokrasia inayoruhusu ushiriki bila ubaguzi.

Kama wachaga wanaonewa, au waislam au Wazanzibari hata wanamtwara na ukahutubia hilo bila kuhamasisha fujo, kwa kupitia chama au platform halali kwa nini uadhibiwe?

Mfano, Mtei aliposema Tume ya katiba ina waislam wengi, mbona hakuadhibiwa? Waacheni wanyarwanda waamue kama zinazoongelewa ni pumba au mchele. Wapeni ukumbi wapinzani, siyo kuwaua. Hamuoni aibu dunia inawageuka kadri siku zinavyoenda?
 

very good. sasa let's apply the same thing kwa RPF, madai ya RPF yalikuwa nini kama sio "kudai haki za watutsi"? Mbona wao walisikilizwa Arusha na makubaliano yakafikiwa kati yao na serikali ya Habyarimana iliyokuwa predominantly hutu?
Baada ya kupindua nchi kwa kisingizio cha kuzuia genocide kwa nini RPF walivunja hayo makubaliano? kiufupi ni kuwa ukabila waliolalamikia RPA wakati wakiwa waasi ndio huo huo wanaoufanya sasa na unalalamikiwa na FDLR, solution inakuwa mazungumzo kama ya Arusha, sio kudai kuwa hakuna ukabila!
Mfano: Waziri wa zamani wa Defence wa rwanda Emmanuel Habyarimana alifukuzwa kazi 2003 kwa kile serikali ya Rwanda ilichodai kuwa ni "pro-hutu views". hizo pro-hutu views ni zipi kama sio changamoto za ku-sustain uwongo wa kagame? Viongozi wengine wengi tu wa kihutu waliokuwa upande wa RPF cosmetically, nao pia baada ya kagame kushika hatamu sawa sawa wakafukuzwa kwa mambo hayo hayo ya "divisionism", "revisionism", "hutu views" na blah blah zingine ambazo zinalenga kuwafanya wahutu wasiseme kuwa wanaonewa.
Wahutu wa Rwanda hawahitaji FDLR wala yoyote awaambie kuwa wananyanyaswa, maisha wanayoishi tayari ni shule tosha. Wanachohitaji ni kuwe na democracy hilo tu.
 

1. Rwanda has always been the most densely populated nation ni EAC, katika hali hiyo utaipangiaje serikali jinsi ya kurudi unavyotaka wewe? Wewe mwenyewe unakiri kuwa kurudi kwa FDLR ni kwa mipango ya Rwanda sio FDLR, hivi FDLR iki-demand warudi kwenye nyumba walizokuwa wanakaa 1994 itawezekana? katika nchi ambayo ardhi haitoshi mpaka mnawekeana limit za mtu afuge ng'ombe wangapi? kagame lengo lake lilikuwa madaraka tu hivyo vitu vingine alikuwa anasingizia. Je ni wanyarwanda wangapi wakimbizi ambao walirudi toka uganda kwa sababu ya kagame? not much, mliorudi (kama na wewe uko rwanda) ni nyie ambao hamkuwa kambini bali mlikuwa mnaishi kama raia wa nchi nyingine kwa raha zenu, kama kina mushikiwabo aliyekuwa marekani, oda gasinzigwa-tanzania, kaberuka-tanzania, etc etc, wale wakimbizi wa kweli ambao kagame alijidai anawatetea wameshalowea huko uganda kama ambavyo hata bongo huku mko wengi tu. ambao kweli walikuwa wakimbizi na wakarudi ni askari wake wa RPA baasi, kwa sababu maisha kwa mnyarwanda wa kawaida ni mazuri nje ya rwanda kuliko ndani ya rwanda. Hutaki unaacha. Ndio maana wengi humu JF wanajiita wanyarwanda lakini in real-life watakuambia kwao Ngara au karagwe, ili mradi kusiwe na sababu yoyote ya kumrudisha kwao.
2. Get your facts straight. RPA ni tofauti na RDF, vinginevyo huko Darfur na central africans wangepelekwa kina Laurent Nkunda, bosco ntaganda na sultani makenga...maana hao ndio RPA!
 
Mkuu Jmali naomba nikushauri tena kwamba uwashauri hao ndugu zako walioko misitu ya congo warudi kwao Rwanda,katika maelezo yako umesema kwamba FDRL wanaorudi kwa hiari yao walipatiwa mashamba na hata aliekua kiongozi waFDRL alipokelewa na hivi ni mkuu wa magereza rwanda.sasa Jmali unataka wema gani zaidi za ya huo?fikiria mtu aliyehusika na mauaji ya ndugu zako unampokea na kumpa kiwanja,shamba na fedha aisee!!hao watutsi wanamoyo wakusamehe na uvumilivu.Hua nasoma comments zako kuhusu watutsi na chuki unayoonyesha dhidi yao najiuliza ungekua wewe ndoPK kuna mhutu angekua rwanda?mkuu Jmali nakusihi acha chuki rudi nyumbani mkajenge nchi yenu hayo malengo uliyonayo hata KAREGEYA alikua nayo lakini hakuyafikia.
 

Mnajidharaulisha mnapopachika watu unyarwanda/uhutu na mnaonyesha jinsi gani mlivyoathiriwa na ukabila na jinsi gani hao FDLR wanapaswa kusikilizwa na international community.
Haka kaugonjwa mnako nchi nzima au? Rwanda leo hii inadai FDLR inapata support materially toka Tanzania, ufaransa, DRC na South africa, wakati ule Rwanda ilipovamia DRC ikachapwa na FDLR, mlilalamika kuwa UN, eti UN hii hii ndio iliwapa siri FDLR na kusababisha nyinyi kuchapwa! Hivi nyinyi watutsi who do you think you are? some special creatures au vitu gani maana kila mtu anayepishana hoja na nyinyi lazima awe mhutu. What does the whole world gain nyinyi mkinyanyaswa? Ndugu, dunia nzima haiwezi ikawa wahutu just because we are against your supremacist ideologies. Hebu ondoa hizo chuki kisha jadili kwa hoja. Hawa wahutu tunaowatetea ni ndugu zako wewe sio mimi. Kamwe sitaweza kufanana na mtutsi au mhutu ila wewe na FDLR mnaongea lugha moja (ingawa sidhani kama wewe unajua kinyarwanda), mna tamaduni zinazofanana n.k NI NDUGU ZAKO KABISA!
Pili, jadili sababu za wakimbizi hawa wakihutu (ndugu zako) wanaounda FDLR kukimbilia DRC kabla hujaanza kujadili mashamba na rushwa zinginezo. ICTR imehukumu wauaji wakubwa wakati gacaca imehukumu mpaka wasiokuwamo, kote huko hakuna FDLR member hata mmoja aliyewahi kuwa indicted, sasa hao watutsi ambao FDLR imeaua ndugu zao ni kina nani? Mambo ya watutsi waliopoteza ndugu zao tuwaachie wenyewe kina kizito mihigo wanajua vizuri kuliko mimi na wewe ambao wote hatukuwapo.
tatu, misimamo yangu iko public kwa kila mtu kusoma, usiongee jumla jumla tu, toa ushahidi, toa link ya thread yangu yoyote ile ambayo ni ya chuki, toa quote yangu yoyote ile inayoonyesha chuki dhidi ya watutsi etc, kuthibitisha madai yako. Ukishindwa maana yake ni kuwa wewe ndio mwenye chuki dhidi ya sio tu wahutu bali any non-tutsis including all of us Tanzanians, ndio maana huishi kusingizia wengine mambo ambayo yako ndani ya moyo wako. Haiwezekani mimi na watanzania wenzangu tu-advocate peaceful talks between FDLR na Rwanda tuwe na chuki, halafu wewe na watusi wenzao mtake FDLR inayoundwa na watoto wadogo wapigwe kwa silaha nyinyi muwe watu wa amani.
 
Beth, Watusi wenzio wako wengi tu hapa Tanzania sasa kama ndio hao sema tuwafurushe mara moja watoke Magomeni ila msilalamike kama ile operation ya Kagera
 

Una kichwa kibovu wewe,baada ya ndugu zako kuua almost a million Tutsi na kuishia mafichoni leo mnajifanya victims..mtashughulikiwa tuu kama NAZI ambao wako hunted til today,maandishi marefu and useless noise wont change a thing and your generation of hate must and will be defeated na hakuna negotiation na murderers FDLR hao ni surrender or kusafishwa tuu,na wewe you have no any business being Tanzanian ni Rwandese 100% acha kuzuga watu.
 

Dream on,you moron!
 
Watutsi na Wahutu mna safari ndefu ya kuelekea kwenye Utengamano ndani ya nchi yenu.
 

We ki panya umekula? au una njaa? njoo huku tukupe mihogo na kahawa.
 

Hacha upuuzi. unakataa nini na kukubali nini? Habyarimana aliuwawa na akina kagame. Na yeye alikuwa yuko tayari kwa mazungumzo. Sasa kwanini walimuua wakati mlikuwa kwenye mazungumzo? Subirini rais yeyote atakayekuja TZ lazima atawatia kichapo tu.
Hapo hamna mjadara. Nyie ni kero. Na kagame tutamtoa hapo tumuweke mwingine.
 
Dream on,you moron!

Mzee wa jenosaidi, unasikitika? na bado. Sasa mbona hamuendi kuwapiga hao jamaa? si mlisema ikifika deadline rwanda ndo inaongoza mkongoto? Akiri ndogo!
 

Sasa deadline siimefika? mbona hakuna linalotokea? au kwasababu hamuendi congo tena kuiba madini yao, kwa hiyo hakuna pesa ya kununulia siraha?
 
Ulimi hauna mfupa, unaweza kuongea na kuandika ulitakalo that is utter nonsense.
 
Sasa deadline siimefika? mbona hakuna linalotokea? au kwasababu hamuendi congo tena kuiba madini yao, kwa hiyo hakuna pesa ya kununulia siraha?
Nyie ni watu wazuri sana kuongea na kubishana, before 1994 ndugu zako walikuwa wakipiga kelele hivyo hivyo, nitakupatia documentary ukitaka, lakini tuliwapiga, mukakimbilia kwa Baba yenu Mobutu, mukaanza ku celebrate kambini kwamba mnarudi, tuliwasubiri mpaka tarehe ya mwisho ndio mko tayari, tuliwafuata huko huko tukawaponda na mavifaa yenu, na lizee lenu Mobutu tukaliondoa.
Sisi ndio tulimweka Kabila, leo hii ooh! we are friends with Kabila, ohhh!!haa huu mchezo hamuujui, na mtashangaa.
Hao ndugu zako hawazidi hata 2000, mmepagawa tu sababu ya presha mnayopata kutoka Rwanda.
Normally ikiwa lazima, huwa hatuombi ruksa, even before hatukujadiliana na Tanzania tulipovuka mpaka.
Just kwa ushauri rudi Rwanda kwenu..kuendelea kupiga kelele ugenini haitakusaidia lolote.
 
Mkuu jmali ukweli lazima tuuseme hata kama haupendi kuusikia you are not a Tanzanian and you will never being a Tanzanian,nimefurahi uliponiita mtutsi na baadae ukasema wahutu walioko congo ni ndugu zangu ni kweli wote ni ndugu zangu kwasababu naamini binadamu wote ni sawa ndio maana damu ya mhutu hospital anaongezewa mtutsi and vise versa.Nakubaliana nawewe kwamba katika vita ile 1994 walikufa wahutu,watwa na watutsi,ingawa watutsi waliuawa kwa idadi kubwa lakini walipochukua madaraka waliamua kusamehe na kuunda serikali ya wanyarwanda wote.toka mwanzo pointi yangu ni kwamba fdrl wanapaswa kusamehe ili waweze kusamehewa warudi kwao na kuendeleza mshikamano nchini mwao,leo hii rwanda hauwezi kusikia mtu anasema huyu ni mtutsi ama mhutu wanatambuana kwa utaifa wao wanyarwanda tu.
 
.....hii kitu haiwezi kuachwa mkuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…