jamani sijui tuwafiche wapi watoto wetu
kwani facebook, instalgram, twitter na whatsapp
zinawaharibu maana mpaka wanafeli mitihani
muda mwingi wako na visimu, vilaptop hawasomi
kabisa na hawana chochote cha kujenga zaidi ya
kuwabomoa akili zao sijui tufanyeje INANIUMA SANA