Hahaaaa.....singo boy....
Weweee!
Hahahhhah
Bi shosti kanuna huyooooo
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Ole wako nawe udanganye kama hivo....utachapwaa
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Anatamani ammeze!!
Aah mimi siwezi kudanganya....heshima zote....
Wewe ndio fundi Wa uongo!
Usianze.....
ukome kuchungulia visivyokuhusu hahahaaha