mambo ya elimu bure

mambo ya elimu bure

Bailly5

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2015
Posts
16,495
Reaction score
35,288
uploadfromtaptalk1444398433432.jpg
 
USHAURI: Ongeza elimu bure: Free MBA online


Hivi kwanini uendelee kuhangaika kutafuta ada eti ili ukalipie chuo fulani ukasome kozi Fulani na wakati kwa sasa unaweza ukaisoma kozi hio hio kwa njia ya mtandao na wala mtu yeyote asikuingize gharama zisizo na maana. Tuache mambo ya kizamani sasa na tuanze kuendana na teknolojia.

Kwa sasa ni kwamba kuna tovuti inayotoa ushauri na melekezo bure juu ya namna unavyoweza ukasoma degree yako ya MBA (Masters of Business Administation):

Utapewa ushauri bure

Utaelekezwa hatua za kufuata mpaka kukamilisha kozi yako bureee

Na utapanua sana uelewa wako

UFANYE NINI?

Kazi ni nyepesi sana. Hakikisha kila mara unapokuwa unapata muda usiache kutembelea tovuti ya http://www.google.co.in/url?sa=t&rc...7lKMZb&usg=AFQjCNF4LGBZj6Ua6EWtccIiC5QieLn9fQ
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom