Dogo naona na wewe una blue tick. Now this is too much. Sijui ni vigezo gani vimetumika wewe kupewa? Tunapoelekea zitakosa mantiki. Uongozi wa JF uliangalie hili swala kwa jicho la tatu. Yani Melo mchizi wetu anazigawa kama njugu. Nasuburia tu Idugunde apewe tu blue tick najitoa mazimaa jamvin.Gwajima mitano tena
Blue tick mbona hata wewe ukiamua unapata, cha msingi wasilisha majina yako halisi kwa invisible..Dogo naona na wewe una blue tick. Now this is too much. Sijui ni vigezo gani vimetumika wewe kupewa? Tunapoelekea zitakosa mantiki. Uongozi wa JF uliangalie hili swala kwa jicho la tatu. Yani Melo mchizi wetu anazigawa kama njugu. Nasuburia tu Idugunde apewe tu blue tick najitoa mazimaa jamvin.
Yaani majina halisi kabisaaa...? πππ, unataka tusakwe na madalali wa chanjo?!Blue tick mbona hata wewe ukiamua unapata, cha msingi wasilisha majina yako halisi kwa invisible..
Usiogope kiongozi..
πππDogo naona na wewe una blue tick. Now this is too much. Sijui ni vigezo gani vimetumika wewe kupewa? Tunapoelekea zitakosa mantiki. Uongozi wa JF uliangalie hili swala kwa jicho la tatu. Yani Melo mchizi wetu anazigawa kama njugu. Nasuburia tu Idugunde apewe tu blue tick najitoa mazimaa jamvin.
Naona huwa unashinda unaniwaza namna ninavyokupa mambo.Dogo naona na wewe una blue tick. Now this is too much. Sijui ni vigezo gani vimetumika wewe kupewa? Tunapoelekea zitakosa mantiki. Uongozi wa JF uliangalie hili swala kwa jicho la tatu. Yani Melo mchizi wetu anazigawa kama njugu. Nasuburia tu Idugunde apewe tu blue tick najitoa mazimaa jamvin.
Niliandika comment ndeefu nikifafanu mambo kibao, lakini nimeona niifute tu. Some souls are beyond redemption.