Mambo ya Dar at night

Mh balaa wajomba!! Aja atuchukue tukapumzike zetu mbinguni hakuna njaa wala hamu ya chochote na lolote hata hayo mambo yetu hatutakua na hamu nayo!!!
 
dar at night,lazima nikayaone na macho yangu.kuna uhondo bila shaka.lakini ndiyo maisha,kazi adimu,mishahara ndiyo hiyo.simpondi huyu dada.ila ushauri wangu,usisahau soksi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom