Wengine huyapenda maradhi yao..Wanajua ila wameshindwa kutatua tatizo. Ni rahisi sana kama wataamua kwa dhati
hahahahaaaaaaaaaaa,watakuwa wanaomba msaada tutani..sipati picha awe na mzula weeeeHata kujiswafi ni mashaka
suruari anaifungia wapi sasa,
hapo mlegezo unakuhusu haijalishi unapenda hupendi.
kuna mmoja yuko hivyo miaka 30 hajaoa na bado akipata mtu anaye kubali alivyo analeta kutotulia aanachwa daily halafu anajifanya yeye ndo anaacha.angekuwa na hela angewapata ndo hivyo mshahara wa kima cha kati ni shiida