Mambo Usiyoyajua Kuhusu Kampuni ya Microf Ltd

Mambo Usiyoyajua Kuhusu Kampuni ya Microf Ltd

Kahembo

New Member
Joined
Sep 30, 2017
Posts
1
Reaction score
0
1: Nikampuni ya pekee ambayo imeshaajili na kufukuza team zaidi ya 8 kati ya mwaka 2016
2: Nikampuni ya kipekee ambayo hutangaza nafasi za kazi Mara kwa Mara fuatilieni nyuzi zake humu mtaona hizo posts nyingi mno
3: Ni kampuni pekee ambayo kila anayefanya kazi pale lazma aondoke anadai mshahara sio chini ya Mishahara ya miezi mitatu
4: In kampuni ambayo inamfanyakazi mmoja ambaye huwa hafukuzwi jina namuhifadhi sijui yule kijana atakawa na vyeti feki hana pa kwenda.
5. Ni kampuni ambayo inazalisha pesa lakini huwezi jua zinakwenda wapi.
6. Ni rahisi sana kupata kazi kwenye kampuni bila hata kuhonga na ni rahisi kufukuzwa pia bila hata kosa.
7. ni kampuni ambayo mkurugenzi ndio kila kitu yeye ndio muhasibu hata muhasibu ukiajiliwa hujui chochote kuhusu pesa huruhusu pesa kutoka na hata hujui kwenye akaunti kuna kiasi gani
Chukueni sana tahadhari hii kampuni in ya kitapeli na soon tutaipeleka mamlaka husika anaeipinga akafanye kazi atanipa jibu ya mwezi mmoja wapo kinondoni
 
tatizo la vijana akishafanya kazi siku mbili anataka mshahara na utendaji kazi wake ziro
 
Back
Top Bottom