Mambo umuhimu Kwa mwanamke ambayo hupaswi kumwambia mmeo katika ndoa.

Habarini !
Kwa kawaida ndoa Ina mambo mengi sana na inahitaji uvumilivu wa hali ya juu. Hivyo katika pita pita zangu nimekutana na mada hii ambayo imelenga sana Kwa wanawake hasa waliopo kwenye ndoa.
Kama mwanamke inapaswa ujue kuna vitu vya kuingea na kutoongea na mmeo hata kama vilitokea kabla ya mahusiano yetu kufika hatua ya ndoa. Hivyo yafuatayo hupaswi kuyazungumza popote hasa hasa ukiwa na mmeo :
1. Idadi ya wanaume uliojamiana nao kabla ya ndoa au kukutana na mmeo.
2. kusema siri za mpenzi wako wa kiume au mme wako.
3. Usimwambie mmeo unampenda sana rafiki yako au shemeji.
4. Usijaribu kumwambia kuwa mnamchukia mama yake au familia Kwa ujumla.
5. Usimtishie mme wako kuwa utakuja kuachana naye.

Also, it can be vice versa

Asanteni.
Usitutishe
 
Hii umeitoa kule BBC swahili vema ukaweka na sources aisee
 
Source : BBC
Asanteni.

Ukweli mtupu.
 
BBC Swahili wabaya sana, yaani wamekuja kuiba uzi wako na kuongezea maelezo kidogo bila ku-aknoledge! Hii tabia ya CTRL+C - CTRL+V bila kumpa credit author kwani wanapungukiwa nini hawa BBC!
 
maisha bhana kuna demu nilikua namkula,tukiwa kwa bed ana niambia et mbona were kadude kako kadogo dogo tofauti na wengine.daaaaaah tulisha achana kitambo.(ukweli unauma)
 
Back
Top Bottom