Mambo tisa muhimu kuhusu kifo cha mwanadamu

DATAZ

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2012
Posts
4,712
Reaction score
11,991
1) Binadamu anapokuwa katika kufa, cha mwisho kufa huwa ni fahamu.

2) Uhai (roho) humtoka mtu kwa kati ya dakika 5 hadi saa 48 kutegemea hali ya maisha yake.

3) Mahangaiko ya kutoa roho huwa makubwa zaidi kwa waovu waliotoa roho za wengine.

4) Mwili wa marehemu hukaa saa 8 kabla ya kukakamaa.

5) Vimeng'enyo vya chakula mwilini mwako, ndio huusika na umengenyaji wa nyama ya mwili kabla na kisha hufa na vyenyewe.

6) Hakuna roho ya marehemu inayoranda randa baada ya kufa kama wengi wanavyodanganywa, bali roho hulala kusubiri ufufuo wa kiama.

7) Hofu ya kifo hukiharakisha sana kutokea kuliko ujasiri dhidi ya kifo. 8) Fuvu la kichwa ndio kiungo cha mifupa kinachodumu kwa muda mrefu zaidi kuliko viungo vyote baada ya kifo.

8) Hakuna kivuli kilicho karibu na mwanadamu kama kifo chake.

9) Yesu ndiye ufufuo na Uzima.

Amani iwe kwenu
 
Uongo tu,kufa kwanza halafu ndio urudi kutuhadithia umeona nini,vinginevyo ni ubatili mtupu!
 
Hiii nini tena jamani mambo yakufa kutishana haya. Wengine uzee unajongea Tafadhali mleta mada, nina muda mrefu sija shuhudia mtu aki zikwa huwa inakaa kichwani mwezi mzima
 
Back
Top Bottom