Sijamkatalia...elewa my point,anaweza akayafanya hayo na mwanaume/mwanamke akatulia ama anaweza akayafanya na bado asitulie ndani...kuna wanaume hadi wanaimbiwa nyimbo wakati wa kula...mwanamke katulia pembeni anampepea mumewe huku anaimba lakini mwanaume wapiii.....Wew ndo unasena hayana formula lakin wanaowafanyia Haya waume zao wao ndo wanajua ukweli was mambo
Ampe na zawadi kabisa.Akienda kuchepuka msifie arudie tena
Kuumbee...Ni kweli lakin kama umeoa mke toka Kilimanjaro,kamwe usiombe msamaha
.atakutesa
Huyo atakuwa ana jini mahaba ndo maana atuliiSijamkatalia...elewa my point,anaweza akayafanya hayo na mwanaume/mwanamke akatulia ama anaweza akayafanya na bado asitulie ndani...kuna wanaume hadi wanaimbiwa nyimbo wakati wa kula...mwanamke katulia pembeni anampepea mumewe huku anaimba lakini mwanaume wapiii.....
Bila Pesa Maisha hayawezi kwenda kitu cha muhim ni watu kuridhika hasa mke anatakiwa aridhike na kipato cha Mumewe hapa akina dada wengi wamefeli kwa kutaka waishi juu ya uwezo wao !!!Wewe Fanya hayo yote sasa halafu usitafute pesa kwa ajili ya matumizi na maendeleo ya familia, utaisoma namba!
Hao ndio wanawake pasua kichwa mbaya unaweza ukaa uvaa mkenge ili umridhishe yeyeIli maisha ya ndoa yaende na ndoa idumu sometyms inabidi ujifanye fala tu kupunguza msongamano..Maana kumwelewa na kumridhisha mwanamke kwa kila atakacho ni mtihani mgumu sana..Ukimfanyia hiki kesho atakuja na kile..ukifanya kile kesho atakuja na hichi..
Kule kwetu hairuhusiwi!Ampe na zawadi kabisa.
Haswaa.Kule kwetu hairuhusiwi!
kwahiyo na ww unamlipizia sio?Pia unaweza kuning'inia hadi ukashika dali lakini jamaa akawa bize kutembeza lumbesa lake.