Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 9,217
- 14,812
kama akifanikiwa kweli kutawala mpaka 2o3o, itathibitisha mambo mengi kwamba yote yaliofanyika yalikutwa tayari yamefanyika, hivyo mpa 2o3o haitajengwa hata km 5 za sgr kuanzia dodoma kuelekea manyoni, sgr dar-dom ndiyo mwisho na hata itakufa na kuota nyasi kwenye mataluma mpaka 2o3o, tuwekeni dau kama kuna mtu anaamini tofauti.
treni ya sgr haitaweza kwenda hata km 5 tu past dodoma, bwawa la Nyerere litasimama kwa kukosa uangalizi na repair kwa maana nyingine mpaka 2o3o halitozalisha >2000 MW of electricity, mwendokasi zitakufa na daladala na boda boda alizoanzisha raisi mwinyi kutamalaki.
hayo myategemee mwaka 2o3o …