ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,681
- Thread starter
- #21
Na mimi nimeisha paki mabegi yangu tayari kwa safari ya Iringa
Huyo mwenye koti red ni Julie Shonza?
Yanayoendelea bungeni ni kwasababu mbili tu za msingi;
Mosi, Spika ameshindwa kulimudu bunge kwahiyo anayumbayumba hadi atakapopata pa kushika ndipo mambo yanakwenda.
Pili wabunge wamebuni mbinu mpya ya kujiongezea posho kwa kufanya mambo ya kihuni ili tu bunge liahirishwe na by default siku za mijadala zinaongezeka na hivyo wataendelea kuhudhuria chako ni chako.