Grand Canyon
JF-Expert Member
- Jan 2, 2020
- 547
- 1,193
Kama ni hayo tu uliyo yataja, basi nitoshe tu kusema kwamba bado kuna mengi sana ambayo haujajifunza kuhusu ndoa na taratibu utayafahamu na kujifunza karibu kila siku hadi siku ya mwisho wa uhai wako.
Miaka mitatu haitoshi mkuu, kuna waliokaa kwenye ndoa hadi wamestaafu na bado wanaendelea kujifunza aiseeee.Bado najifunza,huu mwaka wa 3 tu!
Usifananishe ndoa na gereza mkuu..Ndoa ni mfano wa gereza kila mtu awe makini kumtafuta mfungwa mwenzie
Ndoa ni ward ya vichaa mkuuUsifananishe ndoa na gereza mkuu..
Ndoa ni AGANO
Sawa ni agano sasa kwanini makundi haya wanaosali wasiosali mashekhe kwa wachungaji japo siyo wote hawafurahii hilo agano?Usifananishe ndoa na gereza mkuu..
Ndoa ni AGANO
Uko sahihi.Nina mwaka wa 9 katika ndoa ,kitu nilichofanikiwa Nikutokumweleza mke wangu mahusiano yaliopita ,wala yeye kumuuliza maisha yake yaliyopita ,na kama anasikia nilikuwa na husiano ni kwa watu ,ila sijawai mthibitishia kwa kinywa chango ,wala kumweleza maisha yangu ya mahusiano kabla yake ...
Hili limenisaidia sana tena sana ,kuepusha migogoro au wivu wa kipuuzi. maana hata mie sitaki kujua alikuwa ana date na nani au maisha yake ya mahusiano yalikuweje n.k ,nachoangalia tuko wote ....vishiiii....
Wakati mwingine hizi stori za kwamba ulikuwa na nani sijui na nani huwa zinaacha majeraha sana katika mioyo ya watu ,na wakati mwingine ikitokea mhusika ana mjua au mko karibu au ikatokea siku anakutana nae .ndipo tabu huanza
Samahani mkuu, mimi sijaongelea dini, mashehe, wachungaji na wanao sali and usinilazimishe nitoke nje ya mada.Sawa ni agano sasa kwanini makundi haya wanaosali wasiosali mashekhe kwa wachungaji japo siyo wote hawafurahii hilo agano?