kalooo 25594
JF-Expert Member
- Jun 14, 2016
- 300
- 194
Wanajukwàa.
kuhusu kifo cha Baba mtakatifu.
Walioko kwenye Kitambaa cha Muungano,Mkuki wa uhuru na umoja.
2. Kiti cha bunge si cheti cha uhuru.
Maana hi kuwa kabla hujashinda mfumo ishindie kwanza nafsi.
4.Mabadiliko ya jamii=(Elimu+ujasiri)-(mazoea).
5.Ukombozi=(sayansi ya jamii)+(falsafa ya nafsi).
6.Kiongozi wa kimapinduzi= (unyenyekevu)×(Nidhamu)×(ubunifu).
Unyenyekevu ni kuwa tayari kujifunza kila siku.
Nidhamu uwezo wa kujizuia kwa lengo kubwa.
6.Kama kuumia tuumie kwa dhamira za ndani yetu
Quotes
Mathematical proved.
KAMATI KUU
MKUU WA KAMATI KUU.
katika kipindi ambacho dunia inaomboleza Kifo cha Baba mtakatifu(Papa Fransco),Taifa linashuhudia mitikisiko ya kisiasa ndani ya vyama( chadema),na vijana wenzetu wanapotea kwenye kelele za mitandao -mimi Kalooo nimekuja na ujumbe wa aina hii mbele yenu.
kuhusu kifo cha Baba mtakatifu.
Kifo cha Papa kwa tarehe husika kimeibua hali ya roho iliyojaa mapambano yenye moto wa kweli wa moyo wa huruma na ukombozi,
Wakati huo Duniani watu huomboleza kwa machozi na wengine wanaomboleza kwa neno huko mbinguni maana machozi hufuta uso ila neno hufuta ukimya uliotawala.Kazi kubwa tuliyopewa na Mungu toka mwanzo ni kuziweka roho mkononi mwake(ziwe huru zaidi),Hivyo,kama vile tulivyokuja duniani na tutarudi mbinguni kwa Baba katika siku aijuayo Mwenyezi Mungu.
Dini inasema kabla na hata baada ya kuwa kiongozi na mwalimu wetu(2yohana1),na sasa tutakuwa naye daima kama Mwalimu na mpenda mabadiliko kwa jamii iliyokuwa chini ya ukandamizaji na mapigano ya wenyewe kwa wenyewe( Daniel9) kutokana na nguvu za jamii ya mambwenyenye.
Kama taa zingine na mwanga wetu wa Muungano wa Tanzania toka siku ya kuchanganya mchanga aliamini katika ukomo wa mateso ya ndugu zake katika Mungu mmoja(Night mystic move-Alpha blond).
Baada ya Msiba nikaona machafuko Kwa waliosisitizwa kuwa wamoja(Kusini sudani,yohana17;21).Afrika isigombane kuwa na majina ila watu wawe chachu ya kutupa fikra mpya,tuweze kujenga jamii yenye kujitambua kwa nini ipo pale pasipo kuwa watumwa wa mawazo yatupelekayo kujiumiza wenyewe kifkra pasipo sababu,upambanaji si utumwa kwa mtu,kitu au kikundi ila ni maono yaliyo sehemu aliyokalia ama dhamira iliyopambanuliwa kwa uwazi na ushahidi, yenye kuleta mafanikio katika njia zake,Tulipo ni njia tu kwanini tuwe kama mbuzi atafutaye kivuli usiku?

1. Fikra ni moto,hazihitaji kiberiti ila ujasiri.
2. Kiti cha bunge si cheti cha uhuru.
3.Ukombozi si sauti ya wengi ila wale walioamka.
4.Mataifa hufa mara kwa mara kila wanaponyamaza wenye mwanga,Watu hufa mara moja.
5.Mwanga wa kweli haupatikani kwenye sanduku la kura ila pale jamii inapoamka na kujua kweli.
6.Msisubiri ukombozi wa sauti wakati hofu mko nayo rohoni.
7.Na dini inayokufa kabla ya mtumishi wake hiyo inazika huruma kwa Jina la utaratibu.
8.Msiupuuze Muungano,mmepata watu wa kuwasamehe,kuwatawala na Kuwafundisha,Kwa watawala na wanaharakati Muungano bila kuulinda ni kuchoma hadhina za Mbinguni ili ubaki kwenye laana ya kizazi kijacho kuishi bila kujistiri.
Formula ni kama namba na matendo bali leo majadiliano ni kama bahari.
1. Mabadiliko=Nafsi mpya ×Fikra mpya

Unapobadilika basi fikri tofauti na uiguse jamiii.
2. Mfumo(mfumo wa dhuluma=ujinga+uoga)
Mfumo wowote wenye dhuluma hurisha watu na kuwafanya wasielewe nguvu zao.
FOrmula ya kuvunja mfumo huu ni uelewa×ujasiri=mapinduzi.
3.Vice versa Revolution=kujifunza kutoka kwa adui.
Chukua silaha ya adui wako ichukue itumie kwa hekima utashinda.
Mfano Tumia ubepari kuelekea ujamaa wa kweli kwa akili(media,technology,elimu).
2. Mfumo(mfumo wa dhuluma=ujinga+uoga)
Mfumo wowote wenye dhuluma hurisha watu na kuwafanya wasielewe nguvu zao.
FOrmula ya kuvunja mfumo huu ni uelewa×ujasiri=mapinduzi.
3.Vice versa Revolution=kujifunza kutoka kwa adui.
Chukua silaha ya adui wako ichukue itumie kwa hekima utashinda.
Mfano Tumia ubepari kuelekea ujamaa wa kweli kwa akili(media,technology,elimu).
4.Mabadiliko ya jamii=(Elimu+ujasiri)-(mazoea).
Panua elimu, ongeza ujasiri na vunja mazoea potofu.
5.Ukombozi=(sayansi ya jamii)+(falsafa ya nafsi).
Sayansi pekee haiwezi okoa watu na falsafa pekee haiwezi pia,Ni muhimu kuunganisha Akili na roho katika kuilomboa jamii.
6.Kiongozi wa kimapinduzi= (unyenyekevu)×(Nidhamu)×(ubunifu).
Unyenyekevu ni kuwa tayari kujifunza kila siku.
Nidhamu uwezo wa kujizuia kwa lengo kubwa.
Mbunifu ni yule awezaye kutafta njia mpya kila siku.
Kauli kuu:Revolution si mapambano ya Bunduki tu, ni akili,roho na sayansi.
Kalooo hakuwa mwanasiasa katika dhamira ila ni kizazi kilichokataa kunyamaza pale njia inapoachwa na watu kupenda kiza kuelekea kwenye makorongo ya mito ya mamba.
Maswali.
1.Mambo yanapotuzidi tunahitaji fikra mpya au uongozi mpya kwenye sehemu zetu?
2.Tukifuate kilichobeba roho au muondo?
3.Je urithi mkuu kwa ndugu na jamaa zetu ni nini?Na tunasubiri lini kuchukua?
4.Kalooo kwa nini anaweza kuwa Muhaini au mwanamapinduzi?
5.Na kama yote mawili amehaini dhidi ya nani na mwanamapinduzi dhidi ya nani?

Au za nje(Wote tunaoishi kwa kupumua Hakuna asiyepatwa na uharibifu isipokuwa Mungu asiyeonekana)?
7.Mimi ni nani?Haikuhusu mwandishi ila Kila mmoja awepo katika kwa nini yupo?
Kama tunasimama basi tusisimame tu kwa miguu kama kalooo ila kwa akili na roho kama kalooo ndani yake.Mimi ni wewe,wewe ni sisi.Basi kalooo yupo ndani yenu.
Nimewaita kizazi cha 2085,Ni kizazi cha roho inayotafuta,macho yasiyolala na moyo usiohofia.
Twende tukalime fikra zenye tija tukavune matendo ya kimapinduzi.
Tusijenge nchi mpya kwa Tofari ngumu ila kwa roho zilizounganishwa.
Tumejifunza kuandamana mitaani kwetu ila hatujajifunza kuandamana na nafsi zetu.
Nia yangu kwa Wakombozi.
Ukombozi hautangazwi na radio,wala hauhifadhiwi na chama ila akili kutoka ndani inapotuamsha kama jua linalochomoza bila ruhusa ya serikali.
Mji mjini ya mawe hauko kwenye ramani kwa sababu msingi wake umeteleza kiroho.
Mambo ni vice versa na kifo cha mfumo ndo uzima wa nafsi.
Vice versa isiwe msimamo bali mapinduzi yenye msingi wa maono.
Yachukueni hayo yafaa kwa kesho yenu ni njia dhidi ya upinzani wa nje.
Na kalooo 25594 ni funguo ya 2085 kuithibitisha kazi iliyokuwepo inaendelea.
Kalooo ni zaidi ya mtu,Ni wazo,ni mwamko wa kutafakari na kuamka.
Mapinduzi tukayafanye baada ya kimia kingi chenye busara, kuliko kelele za mwishowe kuamuliwa na kutii, funga mdomo wako.
Utalalaje kama umetelekezewa alfajiri na watu ambao still wako tungi na mambo yao?.Ukifanywa hivo umeumbwa ili uilete alfajiri ya mambo yao.Ni sononeko maana Maji ya matumaini yanamwagika usiku wa machungu.
Nawasilisha japo duniani si kila kitu kinaonekana kama kilivyo.

1. Mtu anayejimiliki nafsi yake hamilikiwi na dunia.From Mimi ni nani kwenye Siri ya 2085
2. Maendeleo ya nje hayazibi pengo la uchochoro wa akili iliyolala.Mambo ni vice versa-Afrika bado Hapajakucha.
3.Mapinduzi ya kweli hayatangazwi kwa kelele huanza moyoni kama siri ya umeme kabla ya radi,itifaki,sheria na demokrasia.
4. Aliyejua jina lake halisi ameikomboa Jamii.Mimi ni nani no siri ya 2085.
5.Vyeo visivyotumia mtihani ya dhamira havidumu mbele ya historia,ukuu wa mlaji wa vijiji inahusu.
6.Afrika haitainuka kwa miguu ya Wageni bali kwa kujitambua kwa wanawe.vice versa na mapambano ya kiakili ni vita.
7. Kuhusu wakati ujao,2085 si mwaka bali ni kengele ya nafsi,ikilia katika wale waliolala katika heshima ya uongo.
8.Mwafrika aliyesahau jina lake huyu amekubali utumwa wa fikra,Mimi ni nani ni Siri ya hatima.
9.Uhuru wa afrika haujaandikwa katika mikataba ya majumba ya kimataifa ya heshima tunayoyapigia magoti ila umchorwa katika damu za watu walioamka,mambo ni vice-versa,Hapajakucha usilale mwaafrika.
10.Afrika haitashindwa kwa mapanga,itashinda au kushindwa kwa silaha za Akili.Itifaki,sheria na demokrasia,Kwa Karl Marx, democracy is road to socialism.
11.Uongozi wa Afrika ya kweli hautavaa Tai ya ubepari bali moyo wa wenye njaa ya haki.Vice versa huenda na mapambano ya kiakili.
12.Tunasalimiwa kwa Jina la Jamhuri,basi sisi si vizuka vya historia,ni waanzilishi wa dunia mpya kwa Jina hilo la Afrika.mimi ni nani? Je ni Siri ya 2085?
13.Tuna Majaliwa, hatujajaliwa kubebwa na mataifa,tumepangwa kujibeba kwa Jina letu wenyewe.(vice versa na maisha baada ya mapinduzi ya fikra.
14.Anayejua chanzo chake hajali maji ya mto wa dunia yanavyojaa.
15.Mapambano yasioanzia ndani ni kivuli cha mapambano ya watu wengine.
16.Kujitawala wenyewe ni utawala wa kweli mbele ya mabilioni ya vishawishi.(Itifaki ya mwisho iwe kuondoa woga).
17.Afrika itajengwa siyo kwa mabati ya misaada bali kwa matofari ya uhuru na umoja(mambo ni Vice-versa)
18. 2085 ni ishara,binadamu atajenga dunia mpya au ataangamia kwa usingizi wa kiroho.(Mimi ni nani siri ya hatima yako).
19.Mtu hujikomboa kwa kujitambua,kukataa kufungwa na vyeo/per diem,na kuondoa hofu ya kupoteza vitu vya dunia.

Ukombozi wa nafsi=kujitambua+kukataa mifumo ya kidunia-Hofu ya kupoteza.
20.Taifa linajengwa siyo tu kwa maendeleo ya nje bali kwa jamii inayojua asili yake na jamii inayofikri kwa uhuru na kuishi katika maadili yake.
Here mathematical formula.
Taifa imara=(Jamiii inayotambua asili yake)+(uhuru wa kifkra)× maadili.
21. Kama unataka kujua 21 April ni mwanzo wa siku ndani ya mwaka mpya basi ni hiyo ishara ya asubuhi ya 2025,Ni mapinduzi ya kimia kwenye nafsi iliyoamka kutoka kwenye kulala na kupaa mbinguni kwa vitendo vya ndani mbele ya macho ya watu wa dunia yote.Wapo wanao subiri na kuona hayupo bado ijumaa kuu kuna kitu walimisi,wanachosahau ni kuwa uwepo ni wa majira yaliyopo katika utimilifu.
22. Kinachonishinda mimi ni hiki,kujisimamia akili na Tabia yangu binafsi,nicheke tu kama wewe siyo kiongozi,nje na hayo kinyume hiki kitakuhusu, kikaragosi changu.
23.Picha nayo bendera,usiifanye movie akili yangu,uapdate kipande kipande nisijue picha kamili ya bendera yangu,mimi kuwa kama picha inahusu?
24.Kila nafsi ni molekuli,inabadilika kwa joto la majira na shinikizo la wakati.(vice versa is true).
25.Ningekupa doti ya kanga anti,au wewe dada;Naogopa kwa kujua ukweli kwamba maisha si bidhaa ya bahati,ni athari zinazopikwa kwa mabadiliko ya ndani,yanayopikwa kwa uvumilivu na maabara yako ya moyo.Hiyo ndio wao ya upo shoga angu.
25.Kama tunakwenda twendeni,Lakujua kwanza ni hili,Hakuna uhuru usiohitaji kemikali ya maumivu,kila mapinduzi ni mmenyuko wa nafsi dhidi ya dhuluma.(itifaki na nafsi ya uhuru).
26. Kuhusu kujifunza kwa kalooo,nimekuwa asidi isiyosawazishwa nahitaji kichocheo cha ukweli kuleta mabadiliko yenye maana.(Sasa Nitaiweka uvunguni sura na roho yangu wakati Makutano ni maisha na Fikra?Nyinyi kama mnatangulia tangulieni,huko nako ni dunia mtakutana na watu kama mimi huyu).
27.Chekeni mtakuja jua:mtu akiwa na nafsi tulivu akakumbwa na matatizo ya dunia kwa muda mrefu atachukua hatua ya kujikomboa,Cha ajabu muda huo nyinyi bado mnamcheka.Na mtu having animals na alivyo zaliwa.
Tuone chini hapa
Physics;To every action there is an equal and opposite reaction.
Nafsi tulivu+matatizo ya dunia reaction ifanyike ndani ya muda=uamzi wa ukombozi.
28.Kujenga taifa la watu huru kunahitaji wanaojitambua+ kuwa na Dira moja.
29.Viongozi wa kweli hutokana na watu wanaojitambua na kuvumilia matatizo mpaka wanazaliwa kama suluhisho la jamii.
30. Kama mtaenda kuchumbia basi mrembo wangu asiwe na ngozi ya maua,mwambieni kaka Gwajima aniletee sauti ya Moyo ulio huru,Nitalala milango wazi kwa ridhiki ya huyo mwenzagu,nitaondoka nyumbani na bado nitakuwa mmoja na jasusi la mbinguni.
31.Mwanake anayejitambua ni Suluhu kwa Taifa jipya,Mwenye uzuri wa nje bila akili atakwaruzwa naye hata na kivuli chake.
32.Ukipenda uso wangu ni sawa na kununua hewa,Ukinipenda ndani basi Karibu bila malipo dunia mpya tuungane tusherekee na tuimbe pamoja kuzifurahia nyakati zetu.
33.Ningekuwa mwanamke leo nisingeeleweka hata bure,maana wengi wanatazama kwa macho na kushindwa kuona udongo wa Muungano wa wapendanao.Muhimu kuwaambia uzuri wa ngozi tutashinda kwa muda ila uzuri wa roho tutabaki washindi wa milele.
34.Nimeandika,Lazima tumtafute adui wetu kila kona kwa silaha za ndani kwanza ndo tuje za nje,Kumchukia ni kuhakikisha dhuluma hifanyiki mbele za macho yetu.Tuipende kweli,Nafsi ipendayo kweli huvunja mpaka ngome za karne.
35. Wakati silaza za Atomic zinazidisha madhara katika kujikomboa kwa mataifa,midundo ya mziki huamsha hisia za mapambo kwenye mioyo ya watu waliokata tamaa.Tega sikio usikie sauti ya ndani yako uimbe vizuri.

1.ujumbe wa kamati kuu si kutafuta vyeo,ni kutafuta mizizi ya haki,utu na maendeleo kwa wote.
2.Mwanachama wa kamati kuu anatakiwa awe na bidii siyo bendera kifuata upepo wa masilahi binafsi.
3.Kamati kuu ni moyo wa mabadiliko,ukidhoofika mwili wote wa Taifa huanguka.
4.Ujumbe wa kamati kuu unatakiwa ubebe lawama ya makosa ya wengi na ushindi wa jina la wote.
5.Sauti ya kamati kuu inatakiwa iwe ya kweli,siyo kuwahadaa waliojikatia tamaa.
6.Kamati kuu si mahali pa kuogopa ukweli,ila ni kurudisha ukweli uliopotelea njiani.
7.Aliyebeba kamati kuu bila uadilifu wa kimaono,ameitelekeza nchi na vitukuu vyake kwa maangamizi bila kupiga risasi.

1.Hataki uasi wala uhaini,kaa kama upinde wa mvua ukikutanisha mawazo tofauti kwa kuleta nuru ya Taifa pamoja.
2.Uenyekiti si ufalme wa hofu,bali wewe ni usukani wa matumaini unaoelekeza jahazi la Taifa hili.
3.Ukiweza,weza kusikiliza sana kuliko kuamuru,kwa maana nguvu ya uongozi iko kwenye masikio makini kama mbuzi beberu aishivyo kuinasa sauti inakotokea.
4.Nguvu ya mwenyekiti haipo katika kukandamiza hoja,bali kuyahuisha mazungumzo ya haki.Kila chama kina haki yake kwa muda wake,Kucheza ni baaada ya kutambua muda waga upo wa kutesa kwa zamu kwa kila kundi.
5.Mwenyekiti wa Kamati kuu ni Mwanga wa giza si kivuli cha woga wa mabadiliko.
6.Mwenyekiti huongoza kwa sauti tulivu na kwa ushahidi wa Tabia na uaminifu wa moyo.
7.Neno la mwenyekiti ni mahiri, kama mbengu linapopandwa kwenye moyo wa Taifa lenye udongo mzuri ulio karibu na maji.
8.Uenyekiti si kiti cha kifahari,ni dhamira yenye upenyo wa upeo mkubwa hata kwa ajili ya kizazi kisichozaliwa bado.
9.Na mwenyekiti akikosa maono Taifa Zima huyeyuka kama mishumaa iliyokatika kamba.
10.Na mwenyekiti asiyesema ukweli wa kujua misingi ya viongozi,uongozi na Taifa,amezamisha kizazi kizima bila kupigana vita.
Inner revolution ni uhuru, moja kati ya mawili mtu atachagua,kuja au kuondoka,kusafirisha au kuzikia hapa hapa.
Mpaka hapo,Asanteni ya kwangu ni hayo,Naomba kuwaacha na Professor Hapo chini.