Mambo ni motoo clouds


Hawa. Jaama hakuna mtu wakuwashusha wameanzia mbali sana

Wasafi wanapita juu ya mgongo wa clouds nirahisi sana kushuka
 
Hawa. Jaama hakuna mtu wakuwashusha wameanzia mbali sana

Wasafi wanapita juu ya mgongo wa clouds nirahisi sana kushuka
Na kauli yake mwenyewe kadhihirisha hata wasafi media ana shares, pia kaongeza kwamba ana hakika clouds haiwezi kushuka kwa miaka 20 ijayo.
 

Hao wasafi nirahisi kushuka kwasababu wapita juu ya mgongo wa clouds hawana ubunifu zaid wanacopy na kupaste

Clouds forever


Kingine #achaUnafikiUendeMbinguni
Unaichuki clouds alafu unaisikiliza we mnafiki ngumu kumeza
 
Na kauli yake mwenyewe kadhihirisha hata wasafi media ana shares, pia kaongeza kwamba ana hakika clouds haiwezi kushuka kwa miaka 20 ijayo.

Ni kweli mkuu lakin kusaga mnafiki sana yule jamaa anawangonga kwa nyuma
 
Sasa ww ndio umeniajiri?

Nilishakulilia shida?

Kwani tatizo liko WAP?

Au kwasababu nimetaja redio usioipenda!
Hapa ndipo napowachoka wabongo! Kila kitu ni kufuata mkumbo. Wasanii: kuna wawili kila mmoja ana misule yake, redio: kuna station mbili kila mmoja ana misukule yake, timu za mpira: kuna mbili, kila moja ana isukule yake. Kila kitu kina pande mbili zinazobishana kwa kufauata mkumbo. Mazee usiniweke kwenye kundi la misukule tafadhali.
 
Bonge la point
 
Unaposema wamekosa mvuto unamaanisha nini..kwamba Powerbreakfast ya sasa hivi hakuna kitu??,,..

Na iweje sasa Clouds wazidiwe na redio uliyosema mwenyewe kuwa yenyewe ni muziki mwanzo mwisho??..Clouds ni muunganiko wa vitu vingi News,Sports,Community issues,Lifestyle na mengineyo mengi..So unapokuwa unacompare vitu uwe unaangalia na comparing factors
 
Kinachokusumbua ni kutojua kuwa nguvu iliyoko nyuma ya clouds ndio iliyo nyuma ya wasafi radio & tv
 
Inabidi clouds wajipange upya ili waendane na ushindani ila kwa sasa watu wamehamia wasafi, na e fm
 

Watu wanatembea na Mapungufu ya Clouds.... WasafiTV inavutia kuitizama kivipind kuliko Clouds Tv...
 
Wasafi Festival jumamosi wapo Mombasa baada ya hapo wataingia jijini Nairobi! embu nambie huko kenya wanamziki gani wa Tanzania wanakubalika kule?
 
Umekurupuka kuni_Qoute sijaringanisha radio mimi.
 
Bonge la point

Utabeza sana but ukweli clouds media ndio muongozo wa media nyingi hususani broadcasting industry. Kila radio inayoanzishwa mnasema ndio mwisho wa clouds radio lakin yenyewe yazidi kupaa.

Ifike mahala wabongo tuache chuki na tujenge kuliko kubomoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…