Mambo Ndiyo Yanaanza Hivi .........


Jamaa alie katwa mtama ukimuuliza leo tarehe ngapi? Atasema 8 8. Maana ndizo anazo ziona hapo.
 
Kila mtu alitaka lema ashonde wakati wa uchaguzi, sasa vipi tena??
Nacheka sana kuona watu wanavogeuka fasta..
 
Watu watauwana buree mwisho wa siku unaipelekea matatizo familia yako kuuguza kwaajili ya mtu amabye hata mtaa unaoishi haujui kamwe. Juzi tulisikia jamaa mmoja kapasuliwa jicho mambo ya ushabiki tu pale Mahakama Kuu hapo sasa hasara ya ZZK ama aliyepasuliwa jicho? Tuwe makini na ushabiki wa hivi vyama unaweza kufa haraka
 

Daah! huu Mtama au Mchele?. Mhh! Mimi nadhani ni Uewele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…