Mambo Ndiyo Yanaanza Hivi .........

ukisikia tama la take off ndo hili kudadadeki unaweza kupoteza meno ya barazani
 
mimi nimeupenda mtama tu!
 
nimeikubali hiyo taiming ya mpiga picha! duh hata mguu haujashuka kashafotoa????
 

Unawezaje kuthibitisha kwamba hiyo picha imepigwa jana mahakama kuu. Na je kitu gani kinakufanya uamini kwamba hao waliopigana mtama ni wafuasi wa CDM?

Tiba
 
tizama source na upeleke maswali huenda wakawa na jibu...mie nimedesa hadi caption
Unawezaje kuthibitisha kwamba hiyo picha imepigwa jana mahakama kuu. Na je kitu gani kinakufanya uamini kwamba hao waliopigana mtama ni wafuasi wa CDM?

Tiba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…