Mambo muhimu unapokaribishwa sehemu

Mambo muhimu unapokaribishwa sehemu

fundi msati

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
219
Reaction score
92
HABARI wana jamvi

Mwenzenu naomba mnipe ushauri kwa wale ambao wanafahamu nimepewa mualiko na taasisis fulani ya fedha kwaajili ya iftari ya pamoja. Hasa kiukweli haijawai kunitokea hilosuala asa naomba kwa anaejua vitu gani muhimu ambavyo napaswa kujiandaa navyo au napeleka tumbo tu na kusepa zangu?

Au inakuwaje kuwaje hapo
 
Kula kwako ushibe usijetia aibu kwa watu…
Kila la kheri
 
Usisahau kuvaa lile vazi letu pendwa,ili code isome vizuri
 
Wewe ukialikwa ukifika kama ni kwa watu ingia jikoni chukua sufuria anza kula usipakue anza kula kwenye sufuria.
 
Usiwahi sana wala usichelewe. Fika walau dk 15 kabla ya mda wa shughuli.
Mengine wanasema "When in rome do as the Romans"
Naamini pia unajua nguo gani za kuvaa na muonekano wako kwa ujumla kwa hadhira hiyo.
 
Duh..!
Hizi comments humu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom