mbweta JF-Expert Member Joined Dec 10, 2010 Posts 600 Reaction score 81 Aug 15, 2011 #1 Jana kuna dada aliinama kwenye daladala sijuh alikuwa anaokota nini huku nyuma nguo ikafunuka kucheki mkanda wa chupi umeandikwa hivo.
Jana kuna dada aliinama kwenye daladala sijuh alikuwa anaokota nini huku nyuma nguo ikafunuka kucheki mkanda wa chupi umeandikwa hivo.
Yericko Nyerere JF-Expert Member Joined Dec 22, 2010 Posts 17,018 Reaction score 20,489 Aug 15, 2011 #2 Ehee baada ya hapo ukafanyaje?
Che Kalizozele JF-Expert Member Joined Jul 20, 2008 Posts 777 Reaction score 50 Aug 15, 2011 #3 mbweta said: Jana kuna dada aliinama kwenye daladala sijuh alikuwa anaokota nini huku nyuma nguo ikafunuka kucheki mkanda wa chupi umeandikwa hivo. Click to expand... Na weweee,swaumu ya jana itabidi ulipizie hata kama sio muislam.Ni brand ya wapi hiyo mwanangu,au haukuona ni madeni ya wapi.
mbweta said: Jana kuna dada aliinama kwenye daladala sijuh alikuwa anaokota nini huku nyuma nguo ikafunuka kucheki mkanda wa chupi umeandikwa hivo. Click to expand... Na weweee,swaumu ya jana itabidi ulipizie hata kama sio muislam.Ni brand ya wapi hiyo mwanangu,au haukuona ni madeni ya wapi.
mbweta JF-Expert Member Joined Dec 10, 2010 Posts 600 Reaction score 81 Aug 15, 2011 Thread starter #4 Jason bourne said: Ehee baada ya hapo ukafanyaje? Click to expand... <br /> <br /> uzuri nimefunga ila nlitakiwa kuona kweli ni mpwitompwito au gelesha.
Jason bourne said: Ehee baada ya hapo ukafanyaje? Click to expand... <br /> <br /> uzuri nimefunga ila nlitakiwa kuona kweli ni mpwitompwito au gelesha.
Jaguar JF-Expert Member Joined Mar 6, 2011 Posts 3,440 Reaction score 1,029 Aug 15, 2011 #5 Aisee kweli uli-concentrate yaani mpaka ukaweza kusoma sentensi ndefu namna hiyo.
Che Kalizozele JF-Expert Member Joined Jul 20, 2008 Posts 777 Reaction score 50 Aug 15, 2011 #6 Jaguar said: Aisee kweli uli-concentrate yaani mpaka ukaweza kusoma sentensi ndefu namna hiyo. Click to expand... Umeona eeee,na hiyo nguo ilifunuka kwa muda gani au jamaa alikua anategwa sema swaumu ikamuokoa.Yaaani unaambiwa kabisa MAMBO MPWITOMPWITO.uwezi kusoma hayo maneno bila ya kujitingisha japo kidogo.
Jaguar said: Aisee kweli uli-concentrate yaani mpaka ukaweza kusoma sentensi ndefu namna hiyo. Click to expand... Umeona eeee,na hiyo nguo ilifunuka kwa muda gani au jamaa alikua anategwa sema swaumu ikamuokoa.Yaaani unaambiwa kabisa MAMBO MPWITOMPWITO.uwezi kusoma hayo maneno bila ya kujitingisha japo kidogo.
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,432 Aug 15, 2011 #7 redio tanzania dsm enzi hizoooooooooo
Jeji JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,973 Reaction score 372 Aug 15, 2011 #8 lakini mambo yenyewe kweli ilikuwa mpwitompwito??????????????
J JACADUOGO2. JF-Expert Member Joined Dec 13, 2010 Posts 930 Reaction score 220 Aug 15, 2011 #9 Mambo mpwito mpwito? Duh! Ulijisikiaje baada ya kusoma?