Arnold Ringo
JF-Expert Member
- Jan 23, 2014
- 2,318
- 394
Kamanda Nakumbuka yale maneno ya Kamanda Chademakwanza watu walimshambulia huku ndani lakini nayaona yalikua na maana kubwa sana maana rangi za watu zinaanza kuonekanaSikuwahi kufikiri mwanachadema anaweza kuathirika kwa propaganda zinazotengezwa mtaa wa Lumumba.
Mkuu Salary Slip hatuendi hivyo hata siku moja, Huwezi kucheza ngoma inayopigwa na mpizani. wako na kufuatisha midundo yake na mirindimo yake huku ukipiga mruzi na macho umeyafumba huku ukidhani eti unapambana naye... Hakika utatumbukia shimoni..!!! Hiyo unayodai tuifuate ni Demokrasia ya woga na ni ubaguzi wa waziwazi usio na kificho ambao katu sikudhani unaweza kukukumba mtu kama wewe.. Inashangaza kwa kweli..!!!!
Tambua mwisho wa Propaganda hii ndio mwanzo wa Propaganda nyingine.. Kamwe kwenye siasa propaganda si kitu cha kukikwepa kwa kufuata namna mpiga propaganda anavyoieneza (Umeamkia wapi leo mkuu?) Hapa ilipo. Chadema imepigwa propaganda kadha wa kadha na za hatari kuliko hizo unazodai eti tuzitende ili kuepukana nazo...!!! Mpaka wapiga propaganda wenyewe ilifikia kipindi wakajiaminisha sasa Chadema INAKUFA..!! Naam walijiaminisha kwamba itakufa kabla ya mwaka 2013 lakini je iko wapi??
Chadema ilidaiwa ni chama cha kikristo (Propaganda hii imewaathiri sana cuf mpka leo) IKAPITA SALAMA..
Chadema ilidaiwa ni chama cha Ukanda wa kaskazini... IKAPITA. SALAMA...
Kama vile haitoshi Chadema ilidaiwa ni chama cha Kigaidi...IKAPITA SALAMA.....!!!!!
Kumbuka propaganda zote hizo kila zinapoibuliwa na wapigaji zinakuwa na matukio kadha wa kadha ya kuisindikiza ili iweze kukubaliwa na wasikilizaji (wananchi) kamwe haivumishwi hivi hivi. Watakudanganyaje kwamba hiki ni chama cha Kigaidi?? Naam hapo watawakamata viongozi kadahaa wa chama na kuwahusisha na matukio hayo... Hapa wenye akili fupi watakubaliana na wapigaji..!!
Kuna watu huwa wanadai chama hiki ni Mpango wa Mungu..... Naam si bure ni kutokana na kuluka vihunzi,Mashimo,Makorongo na kila aina ya Mitego na mpaka tunavyoongea hapa mimi na wewe na wewe kuja na Mada yako hii ni kwamba Chadema ndicho chama kinachoshika nafasi ya pili kwa kuwa na wenyeviti wengi wa Mitaa kiliko chama chochote hapa Tanzina...!!! (Na hii ni baada ya kuungana na vyama vingine vinavyounda UKAWA pamoja na uchakachuaji mkubwa tuliouona ktk uchaguzi huo)
Kwa maoni yangu mimi ningesema.....
HAPO ILIPOSHIKA (CHADEMA) KATU ISIACHIE IENDELEE KUKAZA ZAIDI.
BACK TANGANYIKA
Sikuwahi kufikiri mwanachadema anaweza kuathirika kwa propaganda zinazotengezwa mtaa wa Lumumba.

Japokua umejita wewe nimwanachadema na nilikua nakuona humu ndani ukipambania chama lakini nimeanza kukutazama kwa jicho la tato jitafakari kama hayo uliyoyandika yana Afya kwa chama?
Hatutaki kuendeshwa na propaganda, Mhe Mbowe tawala milele Baba, ilimradi tu nchi yetu ipate ukombozi wa 2, demokrasia tuwaachie Democratic na republic huko America, hapa sisi tunataka ukombozi kwa kuiondoa CCM madarakani.
UKOMBOZI KWANZA DEMOKRASIA BADAE
Umejiuliza ni watanzania wangapi wenye uelewa kama wako?
Ni wangapi wenye uwezo wa kuchambua pumba na mchele?
Mtu asie na uwezo wa ku-reason akitajiwa alianza Mtei akafuaya Bob Makani na sasa Mbowe wote wakiwa ni wachaga ni rahisi sana kuamini hizo propaganda.
Tusiotoe mwanya wa watu kutengeneza propaganda.
Don't allow others to set the agenda for you. We must continue to put them on the defense. We must not take instructions from them. Yaani unashauri tumwachishe Mbowe kugombea tena uenyekiti kwa sababu tu za kikabila?
It is not possible to be a little bit pregnant. Aidha CDM ina principles always au haina at all.
mpinge kwa hoja wewe ,nyie ndo mashabiki njaa na upepo msiopenda challenge cc Salary SlipSalary Slip
Una Mawazo Mgando sana Ndugu.
Kama vp na wewe nenda ACT kama unaona Chama hakina makazi bora kwako
Hatutaki kuendeshwa na propaganda, Mhe Mbowe tawala milele Baba, ilimradi tu nchi yetu ipate ukombozi wa 2, demokrasia tuwaachie Democratic na republic huko America, hapa sisi tunataka ukombozi kwa kuiondoa CCM madarakani.
UKOMBOZI KWANZA DEMOKRASIA BADAE
te teh teh ama kweli nimeamini misukule iko mingiHatutaki kuendeshwa na propaganda, Mhe Mbowe tawala milele Baba, ilimradi tu nchi yetu ipate ukombozi wa 2, demokrasia tuwaachie Democratic na republic huko America, hapa sisi tunataka ukombozi kwa kuiondoa CCM madarakani.
UKOMBOZI KWANZA DEMOKRASIA BADAE
Mbowe hawezi kukubali kabisa wachezee chama chake.Napenda kuwashauri CHADEMA watekeleze mambo matatu yafuatayo ili kuondoa propaganda chafu zinazosambazwa na CCM na ambazo zinaweza kuwa na athari mbaya kwa chama chetu.
Wana-CHADEMA,tunapaswa kutambua kuwa watu tunatofautiana katika uelewa wa mambo na katika mapokeo ya taarifa tunazoletewa au kuzisoma.
Kwa maana hiyo basi,mambo haya nashauri yatazamwe upya.
1.Ukomo wa kugombe uongozi urudishwe katika katiba ya chama na ikiwezekano ukomo uwe ni vipindi vitatu vya miaka mitano mitano.
2.Wanachama waruhusiwe kwenda mahakamni na mtu akishindwa kesi aruhusiwe kuendelea na uanachama wake.
3.Mh.Mbowe,kipindi chako cha sasa kikiisha,nakushauri usigombee tena na utoe fursa kwa wengine kugombea na wewe kama kiongozi, ujikite katika kuhakikisha chama kinapata mrithi bora,wa kuamimika na mwenye viwango.
Mchango ndani wako ndani ya chama ni mkubwa na wa kuthaminiwa sana ila ni vizuri sasa ukatoa nafasi kwa wengine ili kukinusuru chama na propaganda hizi.
4.Japo hatuchagu kiongozi kwa kuangalia kabila lake, lakini ikiwezekana katika uchaguzi wa mwenyekiti ajae jambo hili likaangaliwa kwa mapana na marefu yake.
Wenye akili na upeo wa kuona mbali watanielewa, ila wenye kukariri kuwa chama hakihitaji ushauri wa aina hii, watakuja hapa na vijembe na kejeli.
Yangu ni hayo tu.
Nafikiri ungetumia busara si mahali pake hapa kuyaleta hayo kuna vikao vya chama, katiba ya chama inasemaje? Tusitete yale yote yaliyokatazwa na katiba katiba ndio chombo cha mwisho kimamuzi ndani ya chamaTukumbuke sisi tunafanikiwa kutokana na makosa ya CCM na tutambue kuwa hata wapinzani wetu watafanikiwa kutokana na makosa yote.
Siasa ni kama football,ukifanya kosa mwenzako anakupiga bao.
CCM leo hii inaangamia kwa kuwa viongozi wake ni watu "rigid" na kukataa kujirekebisha.
CHADEMA wamefika pazuri lanini safari bado haijafika mwisho.
Wana-CHADEMA sisi sio malaika.
Hivi nikuuluze kwa mfano,watanzania walipokataa mfumo wa vyama vingi walikuwa na sababu gani za msingi zaidi ya propaganda za CCM?Hoja zako ni za msingi sana ila imezitoa bila msingi.
Chama kinaweza kutekeleza hayo mambo kwa kuangalia haja na msingi wake na sio kwa ajili ya kujilinda na propaganda.
Halafu hoja yako ya nne ni dhaifu.Haikutakiwa kutolewa na mtu wa kaliba ya #SalarySlip .You are better by far than this.
Then hitimisho lako nalo ni la woga sana! Wewe ni kamanda,angalau tunakujua kidogo,hupaswi kujihami kwa kuegemea kwenye fallacy.
Nashauri chama kiangalie mantiki ya hoja bila kujali msingi wa mwasilishaji.