mmmuhumba
JF-Expert Member
- Nov 8, 2017
- 491
- 476
1. Kuwa na vitu vyenye kuwapa muda wa kuweka sawa fikra zenu ziiungane. Epuka kuwa faragha na mwanamke au mwanaume wako lakini hisia zenu hazikutani. Kama pipi, vinywaji, maneno matamu, Kukaribiana zero distance, kuchezeana hapa na pale,nk. Mbaya kuwa faragha baada ya mapenzi ya ushirikiano ikawa kama mnabakana au kama mnauziana.
2. Usiwe omba omba bali fanya au chukua unachoona unakitaka kwenye mwili wa mwenzio na kwenye akili yake. Fungua zipu, mate, kifua/titi, vidole, mshike myama, jifunze kutumia kucha kuchezea mwili kuamsha hisia, ulimi, pua, kidevu, ndevu, meno, goti, nk. Jifunze ya kuwa, mtu anayekubali kuwa nawe faragha inamaanisha yuko tayari kwa lolote, acha uoga.
3. Chezea sehemu zenye kuamsha hisia. Mnyonye na kumlamba sehemu zenye msisimko. Uume, uke, nyonga, masikio, midomo, makalio, kwapa, nyonga, kiuno, kifua, nywele, unyayo, kucha, mbavu, midomo, uso, nk
4. Chagua mikao. Kwa kuangalia umbo lako iwe mwanaume au mwanamke na umbo pia la mwenzio, angalia pumzi yako na uwezo wako wa kummudu au kumudu. Ikiwa hujui kujisoma umbile lako na mikao sahihi ya kuweza kumridhisha mwenzio, jifunze.
5. Fanya utundu huku ukionyesha kuguswa hisia zako naye. Kwa sauti, kumsifia, kuongeza utamu, kuongea maneno matamu ya mapenzi, gusa kwa mikono, mwili, ulimi,midomo, kucha nk. Toa aibu mwenza wako ni pacha wako wa dunia.
#unacho kipenda kiweke ndani
#kumdatisha umpendae.
#Ngono salama kwa afya
#kumlinda mwenza wako ni utashi.
Na mmmhhimba.
#mnogeshe umpendae.