Mambo makubwa Matano kutokea baada ya 25th Oct

Mambo makubwa Matano kutokea baada ya 25th Oct

Wana Jf
Yafuatayo ni mambo makubwa matano kutokea baada ya 25 Oct;
-Kambi imara ya upinzani chini ya ZZK,SLAA NA LIPUMBA Kuasisiwa
-Historia ya Mwanasiasa mashuhuri ENL kufananishwa na AUGUSTINO E MREMA
-Chama cha CUF ndio basi tena.
-Mikakati kabambe ya kuimarisha CCM kuongezeka.
-Mpasuko mkubwa kutokea na kuiangamiza CHADEMA

Haya ni maoni yangu tu kama unachakuongeza Karibu!

Kweli nimeamini amfuataye mtu asiyeelewa mambo ama mtu mpumbavu naye si mwerevu bali ni mpumbavu.
 
Back
Top Bottom