mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,771
- 7,138
"Ndani ya Miezi 6 washakataza sukari ya nje ya nchi. Ndani ya Miezi sita hiyohiyo washaruhusu sukari kutoka nje ya nchi. Ndani ya Miezi sita walitoa bei elekezi ya sukari kuwa ni 1800/- kwa 2000/- lakini ndani ya Miezi sita hiyohiyo Sukari imefika 2500/- hadi 2800/- . Kama serkali inatumia miezi 6 kushughulia suala dogo la chai na vitumbua, si itatumia karne mzima kufufua viwanda? CCM ni ileile, oooh ni ileile