Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 26,480
- 50,606
🤣🤣🤣Sadaka inayokuuma, kiasi kidogo ulicho nacho ndani kinakugusa kumtolea bwana🤗
🤣🤣🤣Sadaka inayokuuma, kiasi kidogo ulicho nacho ndani kinakugusa kumtolea bwana🤗
Nitatoroka niende mjini nitafute kijana wa dar anayeshindia kiepe huenda patazoea vilaini tena🥲Nimelia sana mjukuu!😅 kipapa lazima kiote sugu.
Vipi mchungaji? Kondoo nimeyabananga?😁
Uje tukipige waxing then tukichezeshe hadi kilie!!Nitatoroka niende mjini nitafute kijana wa dar anayeshindia kiepe huenda patazoea vilaini tena🥲
Halafu bado unaniaminisha we ni mzee? Mtanipiga mniue🏌🏽♀️Uje tukipige waxing then tukichezeshe hadi kilie!!
Ooh kumbe ndio hivyo, ahsante kwa ufafanuziSadaka inayokuuma, kiasi kidogo ulicho nacho ndani kinakugusa kumtolea bwana🤗
mswaki kushare sijawaji jaribu ila kwa namna navyomtrust hata mabaki ya wali mdomoni sio kitu,love inaanza na trust vingine vinakuja tu automaticSasa ile si chumvi ya asili utalinganisha na mabaki ya maharage mdomoni?🤢
upo vizuri sana hujawahi niangusha 🤣🤣Vipi mchungaji? Kondoo nimeyabananga?😁
Hata kama ulale umeswaki, mdomo una mamilioni ya bakteria wa asili ambao ni mali binafsi ya kila mtu.Kwamba n watu wote wanalala bila kuswaki?
Mchungaji, watu tulitawazwa, chupi zilifuliwa sana! ila uchafu ni uchafu tu mapenzi ya mwanzoni huwa yana spidi sana🤦🏽♀️mswaki kushare sijawaji jaribu ila kwa namna navyomtrust hata mabaki ya wali mdomoni sio kitu,love inaanza na trust vingine vinakuja tu automatic
Mahaba hayana zee wala ujana mjukuu, hata wazee tunazama n kuibuka bila shida, muhimu pawe panavutia😀Halafu bado unaniaminisha we ni mzee? Mtanipiga mniue🏌🏽♀️
Kwa wazee ninaowajua mimi wanategemea wajukuu ndio tuwape manjonjo wavurugike! Sasa we mwenzangu na mimi unakuja umeweza kila kitu tayari inakuwaje sasa hapo😃Mahaba hayana zee wala ujana mjukuu, hata wazee tunazama n kuibuka bila shida, muhimu pawe panavutia😀
🤣🤣🤣🤣🤣 imenibidi nicheke sana tumemalizia hapaMchungaji, watu tulitawazwa, chupi zilifuliwa sana! ila uchafu ni uchafu tu mapenzi ya mwanzoni huwa yana spidi sana🤦🏽♀️
Kama unaweza kujaribu karibu sana mjukuu, upate ladha a wazee kidogo😅😅🏃🏃Kwa wazee ninaowajua mimi wanategemea wajukuu ndio tuwape manjonjo wavurugike! Sasa we mwenzangu na mimi unakuja umeweza kila kitu tayari inakuwaje sasa hapo😃
Nakwambia ukweli, watu wanalamba miguu na makwapa! Ila mkichokana ndio utaelewa kwanini maharage sio mboga!🙌🏾🤣🤣🤣🤣🤣 imenibidi nicheke sana tumemalizia hapa
Unakuwa upo nyuma yakeKupiga mswaki 1????
How????
Naitamani ladha ya kizee, ila wewe sio mzee ninayemfikiria!🤣Kama unaweza kujaribu karibu sana mjukuu, upate ladha a wazee kidogo😅😅🏃🏃
Usihadaike kwa maandishi mjukuu, tumezeeka tayari.Naitamani ladha ya kizee, ila wewe sio mzee ninayemfikiria!🤣