Marcostilone
JF-Expert Member
- Jun 25, 2023
- 1,221
- 2,387
Umeshindwa kuona utofauti hapo?Kama unamnyonya denda, Kuna tofauti gn na mkishare mswaki mmoja?
Denda huwa ni baada ya usafi au kabla?, yani mtu ameamka na mabaki yake ya chakula, ayatoe kwa mswaki wake na wewe uje utumie huo huo mswaki?
Hayo ni mahaba au ni kukosa akili?