Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 57,243
- 90,303
1. Trump kurudia mara mara kwa mara kulitaja jimbo la Alaska kama sehemu ya Urusi, wakati anenda Alaska alikuwa akisema anaenda Urusi kukutana na Putin, wakati anarudi Washington alisema anarudi Marekani
2. Trump kupewa somo la uchaguzi na demokrasia na Putin.
Trump anasema Putin amemuambia kwamba uchaguzi wa mwaka 2020 aliibiwa na Biden na kwamba pia hakuna uchaguzi wa demokrasia kwa njia ya Posta kama wanavyofanya Marekani. (Putin amekaa madarakani Urusi kwa zaidi ya miaka 20 na wapinzani wake wengi wa kisiasa hupata ajali za kuanguka kutoka ghorofani au sumu)
3. Trump kutembea zig zag kwenye zulia jekundu akienda kumpokea Putin