Afrika ni moja mkuu.Nimejifunza CCM, CHADEMA, CUF, NCCR ACT na vyama vingine vyote lengo lao ni kujaza matumbo yao tu.
Nikichojifunza mwaka huu bwana.
Kama huwezi kubadilisha fikra za watu basi badili fikra zako juu Yao.
Case imeisha.
Usimwamini binadamu yeyote,wala usiweke tumaini kwa wanadamu kwa 100%. Yule unayefikiria kuwa ni mtu wako wa karibu- anaweza kuwa anashirikiana na maadui zako kukuangamiza.
Hili lipewe kipaumbele, pia marafiki tushirikiane hata kimawazo ya kutafuta na kuongeza kipato, sio tunakumbukana kwenye kutumia tu
Naomba niwe rafiki yako joanah π
-Daaah maisha haya kuwanyenyekevu sana
-Kingine ishi maisha haya haya
-Kama kijana acha kuwa na mwanamke wako mmoja ambaye mnapendana... Acha kuruka ruka
-Kubet ni ajira
-vijana mtaji wetu ni afya play safe
Money speaks only one language "If you save me today, I will save you tomorrow".
Usiwe kwenye mahusiano na mtu aliyekuzidi shida.
Enjoy maisha kadri uwezavyo.
Nimejifunza kuwa japo Tulia ni mbunge wa mbeya mjini!
Jiji hali barabara zinazoleta hadhi ya Jiji.
1.Usaliti ni zero tolerance hasa unaohusiana na hela,
2.Mwana akizingua hakikisha unampa taste of his own medicine, ukisamehe atarudia
3.Usiwe mnyomge
4.Level up, kutokutongoza wadada job seeker
5.Moyo wa ukaksi, maisha hayataki kuchekeana
6.Mapenzi sio mambo ya ku entertain
7.Always weka gap
8.Wajua marafiki wa interest, leechers na wale ambao unajua wanaweza kukusaidia bila condition
9.Kuwa mtu wa solution, hii itakusaidia kupata connection
10.mimi kwanza
Dah kweli mwanawane usikopesheKwa lugha nyepesi na kwa kutumia ufundishaji wa Mwl wa Kiswahili darasa la tano, jinsi ya kufupisha habari mtoa mada anasema;
1. Usikopeshe
2. Mahusiano ni yako, si ya jamii.
Aseee!!! πππNilichojifunza malaya kulia wakati wa tendo ni utapeli
Kumpenda mtoto wa mtu ni kosa kama makosa mengine
Bora kupenda sabuni