GE2025 Mambo atakayoyafanya Agnesta Kaiza ndani ya siku 100 akiwa mbunge Segerea

GE2025 Mambo atakayoyafanya Agnesta Kaiza ndani ya siku 100 akiwa mbunge Segerea

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

tonicimmobility

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2025
Posts
493
Reaction score
1,038
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Segerea kupitia Chama Cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Agnesta Kaiza, amesema akichaguliwa kuwa mbunge ndani ya siku mia moja atahakikisha wakinamama wa jimbo hilo wanapata mikopo ili kuwainua kiuchumi.

Agnesta ametoa ahadi hiyo alipokuwa akiongea na wakazi wa kata ya Bonyokwa ikiwa ni muendelezo wa mikutano yake ya kampeni kuomba ridhaa ya wakazi wa jimbo hilo kumchagua kuwawakilisha bungeni.

Soma pia: Jimbo la Segerea Dar es salaam tunaelekea kudanganywa tena Oktoba 2025 kwenye Ubunge

 
Nilipo sikia neno ahadi nikajua mtu wa maana sana huyu, ila nimesikitika kusikia neno CHAUMA bila shaka anaundugu na Mbowe huyu.
 
IMG-20250929-WA0018.jpg
 
Back
Top Bottom