bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,343
- 25,329
Wanawake wanatamani ndoa wakishazipata tu cheti na watoto uanza jitahada za kuibomoa ndoa,ikishabomoka wanaanza kulialia kwa mitume na manabii
Sasa mwanaume akiona hivyoo anaringa sana anakunyanyasa japo sio wote.No. 4 hapana kwa kweli. Imekuaje umefikia huu uamuzi?
Inatia hamasa kuona text ya mke/mpenzi akijinyegesha kutaka penzi then u know atleast yuko na hisia na mm
Nikajua mada inahusu sababu za wanawake tu!Mwanaume kushindwa kuweka mipaka ya ndugu na mke; Umeoa unaishi na ndugu zako, ni nadra sana kuelewana
Aseeee sio poa kuna kabila ndio zao izo yani inafika hatua mwanamke ameolewa lakini anaenda kumsimulia Mama ake adi jinsi anavyo nyanduliwa ma mumewe na siku asipo nyanduliwa anaenda kushitaki kwa mama yake kikitokea kitu nasi ukoo mzima wanakupigia simu 😂😂😂Kuna jamaa yangu alioa! mwanzo ndugu wa mke wakataka kumuendesha! Sijui alifanyaje lakini tunachokiona sisi watu wa karibu na huyo jamaa alikatilia mbali ndugu na jamaa wa mwanamke na kuwaambia sitaki kuona mguu wa yeyote hapa kwangu! Hiyo ilikuwa miaka kama 17 iliyopita, mpaka sasa wanasonga na maisha wamezaa watoto 3 mmoja yuko form five!
Haya mambo ya kuingiza ndugu (wawe wa ke au me) hamfiki mbali katika ndoa
nilibahatika kupata yumba kabla ya washiakaji zangu kuna vitu wakawa waweka kwangu kama samani na vyombo....sasa kuna kanyamwezi kakaja kukaa kwangu kakawa kamnatumia mpaka vyombo vya washikaji na samani zao..nikamwambia hivyo vitu sio vya kwangu usivitumie...sasa we kila kitu sio chako chako ni kipi.....nikatafuta visa exist note......maana alikuja kwa ajili ya kujua ni na nini au kwa kua nina kitu...Haraka ya mwanamke kutaka kummiliki mwanaume; Umeingia kwenye ndoa, haina hata miezi miwili ushaanza kuulizia kuhusu mali zake, kutaka kushirikishwa kwenye kila kitu chake na mbaya zaidi unataka asishirikishe ndugu zake, unawakasirikia na kutaka mawazo yako yasikilizwe yawe kama amri.