Mambo 7 wanaume hawayapendi

Sawa, ila sasa mkuu hayo yote uliongea inategemea sana uchumi wa huyo mwanamume ukoje, ambaye mimi niko kwenye kundi hilo namshukuru sana Mungu.
 
Uko sahihi , kingine mwanaume hapendi mwanamke mwenye tamaa kubwa, isipokua mipango ya wazi na endelevu, Jamaa yangu mmoja alikutana na mwanamke , mwanamke Yule akawa anamueleza wakipata pesa waende Ibiza, wanunuzi AMG za kuebdea shambani, mara mwanamke ajifanye ana connection kibao Jamaa alimiachia vumbi Yule dada, ukishaanza ujuaji lazima upigwe na kitu kizito utachokumbuka milele
 
Hahahaaaa bado wale tunaochukia na mikopo vicoba etc
 
Umemaliza Mkuu
 
Kwahiyo mwanamume wewe huoni kukosa hela ni shida kubwa. Hivyo vyote dawa ya ni moja tuu. Usione watu wanakimbilia kwenye siasa ili kufisidi nchi. Ni hela mzee baba
 
Asifokewe yeye nani?
Kwanza nimekumbuka mi sio wife material nisije kupata kesi za mauaji..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…