Mambo 7 kuhusu TRC na mradi wa SGR uliogharimu trilioni 29.5

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Ili kuwa mwandishi mzuri wa habari, ni lazima uwepo eneo la tukio. (To be a good journalist, you have to be there.) Ryszard Kapuściński

Ni ngumu sana kulizungumzia jambo kiundani kama aukuwepo eneo la tukio. Mazingira yanaweza kuzungumza na kukupa picha kubwa au ndogo ya jambo umelisikia au umesimuliwa.

Nilipata fursa wiki hii kwaajili ya semina ya TRC na kutambua shughuli zao, mipango yao na dira yao. Semina hii ilikuwa kwaajili ya Waandishi wa Mitandao.

Masanjakungu Kadogosa, Mkurugenzi Mkuu wa @trc_tanzaniaofficial amefanya kazi kubwa, kusimamia mradi wa Tsh Trilioni 29.5 sio kazi rahisi. Amebena maono ambayo yalianzia kwa Benjamin Mkapa, Jakaya Kikwete, John Pombe Magufuli na sasa Kazi Iendelee chini ya Dkt. Samia Hassan Suluhu.

1. Waozungumzia kama SGR imeanza kutengeneza faida. Mkurugenzi wa TRC amefafanua mradi wa trilioni 29.5 hauwezi kuanza kutoa faida leo, ni mradi mchanga na bado uwekezaji unaendelea. Faida ya reli ipo kwenye kubeba mizigo na sio abiria.

2. SGR inatumia umeme na punguza mamilioni ya lita za mafuta ambazo zingehitaji kuagizwa kutoka nje, jambo linalookoa Tsh bilioni 14.4.

3. SGR Itapunguza hewa ukaa kwa tani milioni 1.6 kwa mwaka. Hili ni faida kubwa ya kimazingira.

4.Zaidi ya watanzania 30,000 wamepata ajira moja kwa moja kupitia Mradi wa SGR. Hii ni pamoja na ajira zisizo za moja kwa moja zaidi ya 150,000.

5. Makampuni ya Kitanzania 2,460 Yameshiriki Kwenye Zabuni za Mradi wa SGR . Hii inamaanisha fursa za kiuchumi zimezagaa kwa wazabuni wa ndani, jambo linalochochea ukuaji wa sekta binafsi na viwanda vya ndani.

6. Usafiri wa treni kati ya Dar na Moro unachukua saa 1 na dk 50, ikilinganishwa na saa 4-5 kwa mabasi, na kati ya Dar na Dom ni masaa 3.5, ikilinganishwa na masaa 8-9 kwa mabasi.

7. Kuna Mpango wa Reli za Ndani ya Miji (Commuter Rail) Dar es Salaam na Dodoma ikiwa ni hatua muhimu kwa kuondoa msongamano mijini na kuboresha maisha ya wakazi wa jiji.
 
Trion 29 ni hela nyingi sana, zinatosha kujenga barabara za km 14000 na zaidi, ningekuwa mimi mwenye maamuzi ningechagua barabara kuliko reli
 
Tanzania ya maneno mengi bila vitendo bado inaendelea. Nadhani wangeacha maneno angalau wakafanya kwa matendo, basi wananchi wangeelewa zaidi na wao wangepunguza gharama, nguvu na muda wa kujieleza.
 
Back
Top Bottom