Mambo matano kwenye mchezo wa fountain gate vs simba leo
1.KAPILI MACHUPA
Alikuwa kizuizi kwa Simba licha ya kuruhusu goli moja alipaswa kuwa man of the match
2:ANCET OURA
Hakuwa kwenye kiwango kizuri alimfanya kasuku kuwa kwenye kiwango Bora
3:MGUNDA SHABAN
Jamaa alitawala dimba la Kati aliwaficha viungo wa simba huyu Ni AI
4. FELIX MINZIRO & STEVE BARKER
Vita ya ufundi ilisababisha tupate mechi nzuri 5-4-1 vs 4-2-3-1
5.OBASI MACDONALD
Alikuwa msumbufu Sana kwa Mabeki wa simba toure na rushine hawakuwa huru .huyu alisimama Kama target man
View attachment 3701057View attachment 3701058