Travis Walker
JF-Expert Member
- Apr 10, 2017
- 323
- 335
Nahangaika kutafuta pesa maana ndio kila kitu, nitachukua mwanamke yoyote nimtamaie kupitia chambo pesa, fweza ndio mpango mzima haya mengine ni kujichosha tu akili na mwili, kuwa na mwanamke huku unamnyenyekea kama vile ndiye Mungu muumba wa mbingu na nchi ilihali yeye akikutana na mwenye pesa haangalii kuwa kwako na heshima, kudhihirisha upendo, kuwa mwerevu au sijui uvumilivu. Hichi unachokizungumza hakipatikani tena ulimwengu huu hasa maeneo ya mjini.
Siwezi kubadilisha maamuzi yako, kaka.Yanini kuangaika wanipende ili iwaje
Sahihi inapostahili.Hawa viumbe hawaeleweki punda mjeredi tuuh..! Inapolazimika
Hata mimi naamini kama unavyo-amini wewe,DadaMwanaume ajue kujiongeza ajue kujitoa, akuheshim, akupende, akuthamini, akujali, akupe muda wake (itaingia hukohuko kwenye kujali)ajue kuvumilia awe na upeo mkubwa wa kufikiri nadhani huyu kwangu ana kila sababu ya kumpenda
Kaka, siwezi kulazimisha uamini, ninachokia-mini.Nahangaika kutafuta pesa maana ndio kila kitu, nitachukua mwanamke yoyote nimtamaie kupitia chambo pesa, fweza ndio mpango mzima haya mengine ni kujichosha tu akili na mwili, kuwa na mwanamke huku unamnyenyekea kama vile ndiye Mungu muumba wa mbingu na nchi ilihali yeye akikutana na mwenye pesa haangalii kuwa kwako na heshima, kudhihirisha upendo, kuwa mwerevu au sijui uvumilivu. Hichi unachokizungumza hakipatikani tena ulimwengu huu hasa maeneo ya mjini.
Hahaha sawa banaHata mimi naamini kama unavyo-amini wewe,Dada
Sio lazima nimpate kila ninaemtamani mkuu, ukienda hotel unataka kula wali kuku ukaambiwa umeisha hauondoki ila ubadilisha maana vyakula ni vingi.Kaka, siwezi kulazimisha uamini, ninachokia-mini.
Ila kuna baadhi ya watu inakuwa ngumu kuwapata hata kama unapesa.Walio na pesa kweli hasaa walishawahi kulizwa na haya mapenzi bro.Pengine itakuwa ngumu kuamini sentensi hizi ninazo-andika kutokana na mazingira uliopo.Ila kama utatembea sehemu nyingi duniani utayatambua haya.
Sawa ni maamuzi yakoSio lazima nimpate kila ninaemtamani mkuu, ukienda hotel unataka kula wali kuku ukaambiwa umeisha hauondoki ila ubadilisha maana vyakula ni vingi.
Think first then talk smart, bro.Vyote hivyo Bila kuwa Na pesa ni ubatili mtupu
Mkuu pesa ktk mapenzi ni sawa na chumvi ktk chakula au sukuri ktk chai, chakula hakinogi bila chumvi na chai haina utamu bila sukari.Sawa ni maamuzi yako
Hamna mwanamke ambaye hataki mambo mazuri, wanawake wote ni materials oriented.Think first then talk smart, bro.
Unajua fedha baadhi ya sehemu haifanyi kazi na utakuja amini haya
siku ukisha-ipata.Nasema hiyvo kwasababu naijua hela na nimetumia vya kutosha so kuna baadhi ya sehemu hazitaki hela
Naweza kuuamini ushawishi wako lakini sio wote.Halafu mimi sijawahi kuwa na mwanamke wa hali kama hiyoHamna mwanamke ambaye hataki mambo mazuri, wanawake wote ni materials oriented.
Wanataka Brazilian hair original za laki tano, wanataka Gucci original from Italy, wanataka kutembelea Mercedes Benz usione tu wanapanda Bajaj, siku akimpata mwenye kumuwezesha atakuacha Na kukusahau kabisa.
Hizo tabia zako ataenda kumfundisha Bwana mpya mwenye pesa.