Mkuu we soma tu hapo alafu uanze uchambuzi wako kwa mwandishi,,,,anadhani waliomo humu ni wajinga sana. JF ni sehemu ngumu sana kudanganya wengi wa humu sio darasa la saba ,,pia wana uwezo binafsi tu wa kung'amua mambo
Ungeacha wakuandikie wengine , na nakuhakikishia kwamba una siku chache sana madarakani , Amos Makalla tuliwahi kumpa taarifa kama hizi lakini akatupuuza , kumbuka huyu aliwahi kuwa Mweka hazina wa ccm Taifa , siyo wewe uliyekuwa mesenja