Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,659
Makonda hapi na gambo watoto wa magufuli hawachokozwi
nimecheka!Ukisoma neno kwa neno utajua tu hapa kinanda kinajipiga chenyewe ,,a
Dogo sisi si watoto kihivo ,ungesubiri uandikwe sio kujiandika.
nimecheka!
Ungeacha wakuandikie wengine , na nakuhakikishia kwamba una siku chache sana madarakani , Amos Makalla tuliwahi kumpa taarifa kama hizi lakini akatupuuza , kumbuka huyu aliwahi kuwa Mweka hazina wa ccm Taifa , siyo wewe uliyekuwa mesenja