george aloyce
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 1,302
- 2,035
- Thread starter
-
- #181
Jamaa yg aliwaka baada ya kuambiwa file limepotea , weeee mshtakiwa alivokua fala akatoka nje na kujitapata ametoa rushwa file limepotea wahuni wakamlekodi , uthibisho ukapelekwa kwa hakimu jamaa kidogo ale wiki mbili , likatafutwa file likaonekana jamaa akapigwa mwaka mmoja na fine juuomba tu usiwe na kesi na mtu ana influence ya hela au cheo
haki inapindishwa
Kinachohitajika ni uturivuHali hii ishawai kunikuta mahakamani mawakili wanavitisho sio poa lkn niliwakataaa walionishtaki
Imara hioHilo pipa likijibu ndo utajuwa maana ya hiyo picha Mkuu
Waone kama wapo kazini kukukandamiza tuHali hii ishawai kunikuta mahakamani mawakili wanavitisho sio poa lkn niliwakataaa walionishtaki
Muda wa kusoma udaku ,sijui mwijaku mange , huku akili inalala siku yakikukuta ndio unaanza kujifunga mwenyewe, Kuna jamaa alitutaperi kiwanja , katuuzia maghumashi , Sasa anaulizwa Hawa unawafahamu akanibu ndio , akaulizwa unawafahamuje , ohooo niliwaudhia kiwanja , akaulizwa wenzio wanasema ulichowaudhia ni utaperi kwamba mwenye we eneo kaja kuwapokonya kwa hio uliwataperi , .ohooo mimi walinipa milioni mbili TU sio nne , [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] tukashinda kiulainiiiiiiiiiiiiiPoint namba 10 na namba 7 zilinipa point tatu mapema mno...nikiwa na umri wa miaka 18 tu huku mpinzani wangu akiwa na umri wa miaka 45
Hiyo siku natoka mahakamani jopo la watu linanifata nyuma naenda kukabiziwa mali za baba yangu.naziskia sauti nyuma yangu zikisema huyu mtoto ana uzoefu na mahakama au amesoma sheria.
Naikumbuka sana hiyo siku.mpaka leo vitabu vya sheria ndo vitabu pendwa kwangu.
Zinapatikana wapi hizi11.Kusoma PGO na vitabu na sheria ni muhimu na ujifunze kupitia kesi zingine
Mie PGO nili download
Kwer kabisa wale mawakili wanakandika miswali mfururizo lkn zote nilichomoa😂Waone kama wapo kazini kukukandamiza tu
Kwer kabisaKinachohitajika ni uturivu