Mambo 10 usiyotakiwa kuyafanya kitandani

lara 1 nimejikuta nacheka tu na hili,sasa we huwa unachukua chako mapemaaaaaaaaaaaaaaaaaa!

Katikati ya game naomba muongozo kujua hela inatoka au haitoki? Na anaejibu anajua jibu lina influence kubwa jinsi gani Game itakavoisha!!! Sasa kuepusha kuishia juu ya shuka jibu ni YEEEES MAM!!!!
 
!mtoto una balaa wewe!
 
kama huwezi kuwa free ku fart mbele ya mpenzi wako
sijui ut fart wapi?
kwa mama mkwe?

si ndio hapo,wakati mi najua farting is one of the sign kuwa ndoa yenu imepevuka kihisia na katika kujiona kila mmja ni mwenzie!imagine tulikuwa tunapaje shida umetoka na mchumba af useme unaenda chooni?unayabana wee mpaka kidate kiishe!lakini sasa hivi akha,unashusha gogo mwenzio anaoga hapo na wala haina shida!aahhahahhahhahahhahha
 
mwanamke ku fart au hata kukojoa mbele ya mpenzi wake ni very sexy...

ingawa kwa mwanaume sio pooa sana
but hupaswi kuona aibu wala kujibana bana
ni nature's call....
 
veeeeery true!sijui lakini wengine wanaionaje lakini mimi kwangu naona poa sana tu!
 
haya maandiko mengine ukiyafuata utaishia kuwy 'fake' kwa bed.....

Mie nakua myself, inategemea na mdundo umepigwaje, kama response ni kucheka nacheka, kama kujamba najamba, kama kulia nalia tu kasoro kudownload tu ndo sitafanya
 
mimi love this!be urself bana mule ni mambo ya Mhubiri 3:3 kwa kwenda mbele!
 
haya maandiko mengine ukiyafuata utaishia kuwy 'fake' kwa bed.....

Mie nakua myself, inategemea na mdundo umepigwaje, kama response ni kucheka nacheka, kama kujamba najamba, kama kulia nalia tu kasoro kudownload tu ndo sitafanya

hahahahahaha mbavu zangu mie
 
Katikati ya game naomba muongozo kujua hela inatoka au haitoki? Na anaejibu anajua jibu lina influence kubwa jinsi gani Game itakavoisha!!! Sasa kuepusha kuishia juu ya shuka jibu ni YEEEES MAM!!!!

I can't you = Sikuwezi
 
simama kwa ukaguzi
teh teh teh! Nimesimama!

hayo makatazo ni mengi sana! La ku-fart linakuja automatic, mimi binafsi ile ya kimya kimya bila sauti kwangu iko poa. Kile kiharufu usually I feel it to be very sexy! Ila ile ya pwa pwa wakati wa game, kitu inaweza goma kuendelea!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom