Mambo 10 m/mke anayofikiria pindi anapokuona kwa mara ya kwanza

naMba 4 siYo saHiHi, kuTemBea nA waLLet ni maZoea yA mtU tU, mFaNo ni mE mWenYewe haTa ninGebeBa mIllioni kaMwe huTaniKuta niMebeBana na waLLet. aLwaYz nApeNda niWe fRee & siMple. siO unAtemBea ---- 1 limEvimBa.!! kwAni miFuko yA sUruaLi inA kaZi gAni??
 
DUH!!!!!!!
hi ya leo kali..........................!!!!!!!!!!!!!!!!:behindsofa:
 
Je, umeshaanza kuwashukuru Watu.. kwa mambo waliyoyafanya kwako tokea 01/01/2013? Hebu fikiri Watu Wasikupigie simu, Wasikujibu Msg, Ukipiga wasipokee, je Simu yako itakuwa na thamani? Anza leo kuwashukuru, Mimi ninaanza kwako. Ahsante sana kwa Msg zako nzuri. Nimezipenda!!! Zimenionya, Zimenikumbusha, Zimenifundisha, Zimenifariji, Zimenitia Moyo na kunifanya nipige hatua kwenda mbele. Heri ya Christmas na mwaka mpya.
 
mmmh!!! Stata Mzuka hapa alipoibukia Adharusi ndo part II ama?..mbona sielewi hii sinema inakwendaje!!!!!!!!!!!
 
naMba 4 siYo saHiHi, kuTemBea nA waLLet ni maZoea yA mtU tU, mFaNo ni mE mWenYewe haTa ninGebeBa mIllioni kaMwe huTaniKuta niMebeBana na waLLet. aLwaYz nApeNda niWe fRee & siMple. siO unAtemBea ---- 1 limEvimBa.!! kwAni miFuko yA sUruaLi inA kaZi gAni??

no 4 ni sahihi kabisa.hata mie mwanaume asiyetumia wallet kuhifadhi hela zake huwa namdisqualify
 
Vipi kama anakupa vimilioni kadhaa kila baada ya muda mfupi, utadiskwalifai..???
Halafu ukumbuke milioni haitoshi kwenye waleti.... Inawezekana anayetumia waleti hela zake ni mwisho zile zinazotosha humo
 
4. Kama pesa hutoi kwenye Wallet hujazoea kuwa na Pesa tena inawezekana hata laki hujawahi kuishika.

hehehe hili langu hili.
 
naMba 4 siYo saHiHi, kuTemBea nA waLLet ni maZoea yA mtU tU, mFaNo ni mE mWenYewe haTa ninGebeBa mIllioni kaMwe huTaniKuta niMebeBana na waLLet. aLwaYz nApeNda niWe fRee & siMple. siO unAtemBea ---- 1 limEvimBa.!! kwAni miFuko yA sUruaLi inA kaZi gAni??

mmh...mwandiko wako wa kipekee kweli kabisa unabebaga millioni hadi zinakutetemesha mikono
 
Back
Top Bottom