Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,496
- 104,268
Very absurd!Pigo la kudhalilishwa kuwa kajinyea kwenye mkutano. Utenzi WA kujinyea ulivyomfurahisha mgombea WA CCM kwenye kampeni Mwanza😔😔
Very absurd!Pigo la kudhalilishwa kuwa kajinyea kwenye mkutano. Utenzi WA kujinyea ulivyomfurahisha mgombea WA CCM kwenye kampeni Mwanza😔😔
AiseeMAPIGO 10 YA CCM KWA MZEE LOWASSA.
Haikuwa Jambo rahisi kwa CCM kumshuhudia Kiongozi mkubwa ngazi (Waziri Mkuu) kukihama CCM na kujiunga na Chama cha upinzani CHADEMA.
Usiwaone leo CCM msibani wanalia na kupishana kutoa maneno mazuri kwa Mzee Lowassa ukajua hadi roho zao ni nzuri, HAPANA.
Ukiondoa vicheko, tabasamu na maneno matamu ya CCM wanapokuwa mbele ya kamera huwa wanaupande wa pili wa sura zao na roho zao.
Lowassa alishawahi kuziona sura halisi za CCM, tena waliokuwa Viongozi wenzie, marafiki,'family friends' na aliokuwa anakula na kuywa nao kila siku. Baada ya kugusa maslahi yao kwa kuihama CCM
Walimpiga mapigo haya
1. Pigo la kwanza,ilikuwa marafiki aliokuwa nao katika kambi yake ya CCM (safari ya matumaini) na waliomshawishi 'amwage mboga' kwa kuihama CCM.Baada ya Lowassa kutii ushauri wao.marafiki hao hawakuhama,wakabakia CCM.
2. Baada ya uchaguzi 2015,Serikali ya CCM ikamuondoa mtoto wa kike wa Lowassa ( Pamela ) aliyekuwa anafanya kazi BOT Makao makuu Dar es Salaam na kumpeleka BoT tawi la Arusha tena bila kupangiwa kazi yoyote.
3.Apiri 16,2016 Mkwe wa Edward Ngoyai Lowassa (Sioi Sumari) akafunguliwa mashitaka ya uhujumu uchumi na utakatishaji fedha $6M akakaa gerezani miaka
4.Haikutosha,Shamba la kufugia na kukuzia mifugo la Mzee Edward Ngoyai Lowassa lililopo Mkoani Tanga,Handeni likataka kuporwa na serikali lote,Waziri mmoja kutoka Baraza la mawaziri la Magufuli akashauri walimege nusu tu,badala ya kupora lote. Wakalichukua nusu.
4. Shamba lingine la Mzee Lowassa lilipo mkoani Tanga ,Loshoto likiwa linasafishwa na Bulldozer, Serikali wakazuia zoezi lisiendelee. wakampelekea Mzee Lowassa bill ya billion 10,kama malimbilizo ya kodi ya ardhi ya shamba lile.Mzee akalitema,Serikali wakalibeba.
5.Serikali ya CCM,pia wakamfuata Fred Lowassa (mtoto wa Kiume wa kwanza wa Mzee Lowassa) wakamlima kodi kupitia TRA kiasi cha zaidi ya Tsh billioni 5,katika biashara zake,wakazifunga akaunti zake binafsi na za biashara mpaka atakapolipa kodi zote.
6.Mzee Lowassa alikuwa anatibiwa na kuhudumiwa na Serikalini,kama Waziri Mkuu Mstaafu,ambapo alikuwa anaenda katika klinic ya matibabu nje ya nchi kila mwaka.
Lakini baada ya kuhamia CHADEMA wakafuta huduma hiyo Mzee Lowassa akawa anajihudumia mwenyewe kwa fedha zake ktk matibabu.
7. Mzee Lowassa alikuwa anaishi Dodoma maeneo ya Area D,katika nyumba za Serikali (TBA) Kama mpangaji na Mtanzania mwingine
(Ile nyumba ambayo alipokuwa CCM watu mbalimbali walikuwa wanaenda kumuomba agombee urais)
aliporwa ile nyumba na serikali ya CCM,kwa sasa nyumba ile amepewa Rais Hussein Mwinyi anaitumia kama makazi yake anapokuwa Dodoma.
8.Pigo jingine,mlinzi wa muda mrefu wa Mzee Lowassa Bw. Tendewa ambaye alikuwa siyo Mlmlinzi tu bali mtu wa karibu kwa miaka mingi sana,
alisimamishwa kazi punde baada ya Mzee Lowassa kuhamia CHADEMA tu akiwa amebakisha miezi 6 kustaafu utumishi wake,na akapoteza mafao yake yote.
9.Wafanyabiashara na marafiki wa Mzee Lowassa Dar na Arusha wakafilisiwa,wengine kutishwa mashitaka au kufuatiliwa na TISS kama bado wanamawasiliano na Lowassa (wakataka afe njaa)
10.MONDULI-Siku moja Serikali ilienda Mkoani Arusha,Monduli katika shamba la Mwekezaji (Mzungu) wakiamini ni Shamba la Mzee Lowassa wakalitaifisha na kisha wakaligawa kwa Wanakijiji kumkomoa Mzee Lowassa.
lakini halikuwa shamba lake bali la Mwekezaji wa miaka mingi
Wakahakikisha pale Monduli wanaondoa heshima ya Mzee Lowassa kwa kuweka DC atakayekuwa anamdhalilisha Mzee Lowassa
wakahamisha Mbunge na Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Monduli kutoka CHADEMA kuhamia CCM ilikufuta kabisa legacy ya Mzee Lowassa.
Mwisho
Mapigo yote haya hayakumfanya Mzee Lowassa Kupiga magoti kwa serikali ya CCM au kurudi CCM.
kwa muda wa miaka 4,kuanzia 28-07-2015 alipohamia CHADEMA hadi tarehe 28 -02- 2019 alikuwa ni mtu mwenye msimamo mkali sana usiotetereka.
01/03/2019 Lowassa alirudi CCM ili kumnusuru rafiki yake kipenzi ROSTAM AZIZI ambaye alipigwa mapigo mawili tu na serikali ya CCM
R.I.P mzee
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Tatizo ukijilimbikizia mali kwa njia za Batili ujuwe watu wanakuona,na siku wakipata upenyo ndiyo wanakumalizia hapohapo! Tujifunze kutafuta vya halali hata kama uko madarakani!!Kama MwanaCcm Nguli aliejijenga na alietumikia chama na serikali muda mrefu kwa nafasi kubwa kubwa anafanyiwa hivo
vip kwa hawa makada wadogo wadogo walioibuka juzi juzi kwa kelele nyingi wasio na mbele wala nyuma akina makonda,polepole na wengineo
Akili kumkichwa
madhara ya kuweka siasa moyoni pamoja na gubu lisiloisha🐒CCM wote na wakereketwa wao ni mipuuzi isoyojali utu.Genge la uhalifu dhidi ya ubinadamu.Ni aibu kujinasibisha nayo na kutafutia ugali humo.
Kua na cheo cha uwaziri mkuu hakuhalalishi wwe kujilimbikizia mali kwa njia za ubatili!!Unakijua cheo cha uwaziri mkuu katika JMT na viambatanisho vyake kisheria?Ungesoma na kumeza mate ingekusaidia kutafakari au kuuliza majirani.Siyo kila swali una jibu lake sahihi.
Wewe una professional politics kuliko waluomtesa EN Lowassa?Acha kucheza makidamakida ndugu.CCM is hideous!madhara ya kuweka siasa moyoni pamoja na gubu lisiloisha🐒
ni mbaya sana,
ukifanya professional politics huwezi hemshwa wala kughadabishwa na siasa ya wengine 🐒
you will go back to the drawing table think twice or thrice and come up with the best alternative plans against zile mbovu za wengine na unaweza eleweka ata kwa wapiga kura.
But hii ya eti chama Fulani siijui ni na nin, it is none sensical crying ambazo ni useless 🐒
Kumbe tupo kwenye uzi mmoja tukijadili mambo mawili tofauti.Kua na cheo cha uwaziri mkuu hakuhalalishi wwe kujilimbikizia mali kwa njia za ubatili!!
Mwendazake alisha sema, hata ndani ya CCM mafisadi yapo!! Za kuambiwa changanya na zako!!Sawa, tuchukulie aliyapata Kwa njia isiyo halali yaani ufisadi. Je, haikuonekana alizipata isivyo halali mpaka alipohamia Chadema? Hali kama hii tuliona pia kwa Sumaye alipohamia Chadema.
Kwanini hii isituelekeze kuamini kwamba viongozi wa ccm ni mafisadi, ila wanalindana? Mathalan leo Mwigulu anapata ajali ya kisiasa ccm, akahamia Chadema au mwingine yeyote - Samia, majaliwa, Hussein mwinyi nk, nini kitawatokea? Watu hawataamini macho na masikio yao.
ndio maana unababaika na kuhemka wewe tu na ugubu wako 🐒Wewe una professional politics kuliko waluomtesa EN Lowassa?Acha kucheza makidamakida ndugu.CCM is hideous!
Kwa nini hakushughulikiwa akiwa ndani ya CCM hadi alipotoka ndo akashughulikiwa?Lowassa alikuwa ni mwizi,na chadema ndio walikuwa wa kwsnza kutangaza hilo.
Unajitoa au ulishatokwa na ufahamu.Kazi yako ni kuchora nyani tu.Kalaghabaho!ndio maana unababaika na kuhemka wewe tu na ugubu wako 🐒
wenyewe wala,
wanasoma tu ugubu wako wanasonga na maisha yao 🐒
Wezi hao waligawana kipind cha Nyerere ,matajiri wengi bongo walijitochotea Hekari za kutosha ndio mtaji wa utajiri wao mpaka kesho..We unajua izo mali zote na ayo mashamba yote lowasa aliyapataje?
hayupo wa kukuhurumia kwenye siasa 🐒Unajitoa au ulishatokwa na ufahamu.Kazi yako ni kuchora nyani tu.Kalaghabaho!
Unakijua cheo cha uwaziri mkuu katika JMT na viambatanisho vyake kisheria?Ungesoma na kumeza mate ingekusaidia kutafakari au kuuliza majirani.Siyo kila swali una jibu lake sahihi.
Umeenda kishujaa kwa utetezi wa kilofa na sasa umerudi mbio kuueleza unyang'au ulioubatiza professional politics.hayupo wa kukuhurumia kwenye siasa 🐒
politics is all about interests...
gubu na huruma ni kwenye mechi tu sio siasa 🐒
Sawa, tuchukulie aliyapata Kwa njia isiyo halali yaani ufisadi. Je, haikuonekana alizipata isivyo halali mpaka alipohamia Chadema? Hali kama hii tuliona pia kwa Sumaye alipohamia Chadema.
Kwanini hii isituelekeze kuamini kwamba viongozi wa ccm ni mafisadi, ila wanalindana? Mathalan leo Mwigulu anapata ajali ya kisiasa ccm, akahamia Chadema au mwingine yeyote - Samia, majaliwa, Hussein mwinyi nk, nini kitawatokea? Watu hawataamini macho na masikio yao.
Ndivyo ilivyokuwa,ni sheria inaelekeza au na wewe umetoa lako tu?Everything goes by the book.Na wala si vile ujisikiavyo kutenda jambo.Rules are rules.Without rules we are all savages,remember?Lowassa alikua ni Waziri mkuu aliejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi na kushiriki kuliingiza taifa katika hasara ya mabilioni ya shilingi kupitia kampuni bandia.
Unapojiuzulu kwa kashfa ya uhujumu uchumi, unawezaje kuendelea kutegemea kupata treatment ile ile wanayopata wastaafu waadilifu?
Kwa nini hakushughulikiwa akiwa ndani ya CCM hadi alipotoka ndo akashughulikiwa?
Kwa hiyo mafisadi ni mtaji wa kisiasa wakiwa ndani ya dola na wakithubutu kutoka wanapigwa msumari wa moto?