Mamba mkubwa auwawa (Congo-DRC)

Mamba iko nguvu kumayii kumuchanga inakorokota tu
 
Nchi za kiafrika za ajabu sana, mnyama akijichanganya kwenye makazi wa watu anauwawa na kufanywa kitoweo kama juzi kiboko mdogo aliyeingia kwenye dimbwai la mtu. Kwa nini wasingempiga ile sinadano ya nusu kaputi na kumchukua na kumrudisha kwenye mazingira yake ya aslili?
 

Mkuu wakati unamchoma hiyo sindano yee awe anakuangalia tu kiongozi hebu nipe upeo wa fikra kidogo ndugu.
 
Mkuu wakati unamchoma hiyo sindano yee awe anakuangalia tu kiongozi hebu nipe upeo wa fikra kidogo ndugu.
Brother sijakurupuka kuandika nilicho andika na yawezekana nina fikra pana kuliko wewe.. Umewahi kuangalia vipindi vya wanyama? kama ndio basi utakubaliana na mimi kuwa kuna sindano maalumu mithili ya bunduki ambayo hurushwa kwa mbali na mtambo huo baada ya muda kidogo basi mnyama huyo analala na kukamatwa bila madhara yoyote
 
mh alikufa mwenyewe huyo!
Watamuueje?
Halafu huyo mamba nimkubwa kuliko udhaniavyo Rweza79 ni kwamba tu unashindwa kuimagine. Unajua kama wewe ni mwanaume mrefu na uliejaza vizuri unakua sawa na mguu wa mbele wa huyo mamba?
Zile picha tunazopigaga mwisho wa semina zetu si unazifahamu sasa imagine ndio hizo hapo halafu pawe na kiumbe mmoja ana funika mwanzo mwisho. Hehehe we jamaa huyu ukimwona laivu lazima utumbo ubane!
 
Last edited by a moderator:

movie zinakudanganya
 

Hiyo sindano walikuwa nayo? Na hao waataalamu wa wanyama mpaka.uwapate leo chezea kiboko uone.
 

Ungekuwa karibu nakunasa kerebu moja.
 
Yes ni kweli mamba huyo ni mkubwa, ila kwa jinsi anavyoonekana hakuuwawa, bali alijifia zake kwa uzee!, Angeuwawa, ungeona picha ya mwili wenye purukushani, na purukushani ya kumuua mamba sii mchezo!. Mama sio mammalian ni reptilian!, hata ukiua moyo mwili unaendeleza mapambano!.

Pasco.
 

Nao hao wanyama wa Kiafrika huwa wanaleta dhara kwa Waafrika watu hivyo anaemuwahi mwenziwe kusiwe na lawama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…