Nukta5
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,191
- 1,314
Mamajusi Choir ni choir maarufu iliyopo Moshi mkoa wa Kilimanjaro inayopatikana katika kanisa la Anglikani, Week iliyopita alifariki mzee mmoja aliyekua moja kati ya wanakwaya ambye alikua ni mzee wa miaka 80+, Pia ndio kwaya aliyotoka Mwimbaji maarufu Rose Mhando. Karibu kushare nyimbo zao maarufu karibuni
1. Majira ya jioni hii, 2. Nitakuhimidi- Hizi ni nyimbo zao maarufu ambazo video zake nimejaribu kuzitafuta youtube nimezikosa inaonyesha ni mambo ya copyright na production company ndo maana zikaondolewa but ninazo video zake lakini nashindwa jinsi ya kuziupload
3.
4.
5.
6. Album yao ya 2015 Kiu yangu