jamani ruta pole, kumbe ana mtu tayari, tena wanaishi wote. jamani hiyo kesi mbona ndogo sana. mi nilijua yupo kwa wazazi. mwabie akupe mtoto, kama hataki alee mwenyewe. PERIODIC TABLE! LOLEST! Wadada wengine kha!
kaka nakuunga mkonoTIMING hilo nalitambua na kulikubali........................lakini nalo lina mipaka yake.....................mie laki saba ni nying wajamani lakini ana usongo mkali anataka kunikamua zaidi adai bado ninazo nyingi zaidi kwa hiyo nimkatia mara tatu yake every month ili yey na bwana wake wale tu mie huku nawasotea...................
Swali la msingi, if you dont concur; what can she possibly do? How old is the baby!
700 grands ni pesa ya kutosha kwa maisha ya kawaida; kama kweli unazitoa hizo monthly!
kaka nakuunga mkono
Ila ndio kuna pale tunapoambiwa tujipange kabla ya kutenda, na tunapotenda basi tuwe tayari kuishi na consequences
You dropped a few proteins, alas! the proteins have grown to a human being.... thats your seed bro
Ni kweli, tena usiamini malezi anayopewa hasa anapokuwa na huyo boyfriend wake ambaye according to you useless. Malezi ni muhimu kuliko hata hiyo pesa, fuatilia kama kuna kasoro mchukue umlee mwenyewe; l am sure kisheria ukiprove kwamba mtoto halelewi katika mazingira mazuri unaweza pata rights za kumtunza mwenyewe.
Kwahiyo havalishwi diapers?Hali hizo sijui ndio cerelac na lactogen?!
Hali hizo sijui ndio cerelac na lactogen?!
Anakula na kuvaa nini? Kama wewe hujawahi kukaa na mtoto mwenyewe hata wiki moja ukajua mahitaji yake naomba nikujulishe kwamba ni ghali sana. Usishangae watu wanajipanga kuzaa. . .wanajua gharama zake.
Ukiangalia hizo diapers packet yenye sijui ni 40 haipungua 26,000. . . na hizo kama mtoto anabadilishwa properly (haachwi achwi na uchafu) basi matumizi ni yatafika hata 8 kwa siku.
8 x 5 = 40 . . . .meaning hata wiki hazimalizi.
Siku 30/siku 5 = packet 6
Packet 6 x (-+)26, 000 = 156 000
Hapo bado chakula, mavazi, vitu vyakichezea, wipers, mafuta, sabuni(siongelei mbuni). . . .
Kama unataka asiwe ghali mwambie ampe huyo mtoto maisha ya kawaida sana. Maziwa ya chai kwa siku pant moja 500, unga wa uji wa mahindi hauzidi 200, kumfunga atumie vipande vya kanga vilivyochakaa, sabuni ya mbuni mche 400 kama sikosei, na nguo mnaenda kwenye zile nadhani zinaitwa saula saula elfu mbili mbili tu mpaka mia tano unapata nguo za ukweli.
lizzy, ni kweli kabisa hiyo pesa haitoshi kabisaa, kulea mimba si kazi, kazi kulea mwana kama rutashumbanyuma unaona hizo gharama kubwa ungesubiri au ungetumia zana.chezea kulea mtoto weye!!!
[MENTION]Mh!:baby: ...pole Ruta...
jamani ruta pole, kumbe ana mtu tayari, tena wanaishi wote. jamani hiyo kesi mbona ndogo sana. mi nilijua yupo kwa wazazi. mwabie akupe mtoto, kama hataki alee mwenyewe. PERIODIC TABLE! LOLEST! Wadada wengine kha!
kila mwezi M-Pesa anatumiwa.....lakini anataka 2.1m/=.........jamani for what alichonifanyia? Tukishindwana adai anaenda kufungua kesi ya amtunzo ya mtoto....na atafanya hivyo kunikomoa anajua sitaki khabaro kuzagaa kwenye vyombo vya khabari.............hiyo ndiyo silaha yake ya veto...............lakini yeye anaishi na jamaa mwingine na amezaa naye mtoto..................sasa anataka nibebe majukumu ya kulea watu wa familia nzima.......yeye, hawara yake. mwanangu na wa kwake na huyu loser wake.......................it hurts very much Kaunga
[COLOR=#0000cd said:lizzy,[/COLOR] ni kweli kabisa hiyo pesa haitoshi kabisaa, kulea mimba si kazi, kazi kulea mwana kama rutashumbanyuma unaona hizo gharama kubwa ungesubiri au ungetumia zana.chezea kulea mtoto weye!!!
ummu kulthum................laki saba wajamani ni kitita kikubwa kwa kulea mtoto.....be reasonable toooo.
dah resonable unayoitaka ww umeshajibiwa na lizzy.kama unataka mtoto alelewe kwa matabara ya kufua na kuanika ,kwa unga wa dona kama toto yenu sio gojwa gojwa hapo naweza kusema kwamba walau chenchi itabaki kidogo.
nina kaka angu ameachana na mke wake anatoa hiyo laki saba kila mwenzi na bado mtoto akiumwa gharama juu yake na kumchukua mtoto haiwezekani causemtoto bado mdogo upo hapo kijana.
Rutashubanyuma ushauri wangu kwako ni kumuuliza listi nzima ya mahitaji ya mtoto na ujitoe mazima kununua each and everything mwenyewe kwani unalipia na shelter?
Kama hiyo ikishindikana omba ushauri kwa lawyer wako, uone hatua gani za kisheria unaweza kuchukua.
Hivi wanaume hawako protected kwenye mambo haya?