Rais Samia yuko hivi na kuelewa hivi kuanzia leo

Kaka mimi noana sasa hivi tuache ushabiki coz Nchi yetu bado iko kwenye transitional period vema tujenge hoja stahiki ili zije kuwa msaada wa maono ya leo na kesho. Magufuri was an individual, serikalii tulio nayo iliundwa na jpm though Kuna wateule wachache wa mama. Jpm has already died but Tanzania inaishi kwa hiyo tusideal na individuals tupembue mizizi mifumo inayolifanya taifa letu kubabi nyuma huku wengine wakisonga mbele
Unaufahamu Mkuu suala la ubaguzi uliasisiwa na huyo usiyetaka atajwe. Watu wana maumivu makubwa sana hasa Kisiasa na Kiuchumi. Raia walibaguliwa kwakuwa tu ni Wapinzani. Watu waliporwa Fedha zao kwakudhaniwa tu Wana msaada Kwa Wapinzani. Sasa mbegu hiyo imeshaota tena Kwa kasi kubwa ndani ya Chama Tawala na Serikali yake. Hakuna kuheshumiana tena. Kuna mpasuko mkubwa sana unaosababishwa na kundi fulani.

Kinachopaswa kufanyika hivi sasa ni kuhakikisha Katiba hii hii mbovu tulionayo inaheshimiwa. Kiongozi alioko Madarakani aongoze kwa HAKI na kufuata SHERIA za Nchi asionee mtu kwakuwa ana Madaraka. Akifanya hivyo haya mambo ya Uchama yatatoweka na hapo tutajenga Nchi yetu kwa pamoja.
 
Kwa baadhi ya mambo, Mama huchukua hatua sio kwa kusukumwa na dhamira njema, bali husukmwa na nafsi ya ngoja niwaonyeshe/nimuonyeshe mimi ni nani au si anajifanya/wanajifanya wajanja ngoja sasa niwaonyeshe.

Kwa kifupi, Mama akihisi(hata kimakosa) kuwa anadharauliwa, watu wanampanda kichwani au anagombanishwa na wananchi, anajenga chuki na kisasi na utaona mtu au watu fulani wanashughulikiwa kitu ambacho sio sahihi.

Yaani kwa mama, unaweza fanya mambo ya hovyo ila kama anaamini unamuheshima, basi utabaki salama.

Halikadhalika, unawaze kuwa unafanya jambo jema ila kama atahisi unamdharau, unam-pressurize,n.k, ataagiza au atabariki ushughulikiwe.

Kwa maneno mengine, hana au amekosa standard katika utendaji wake(sio mtu wa principle).Ni mtu anaendeshwa na matukio kwa kusikiliza hiki na kile then ana-react na bahati mbaya sometimes ana-react kimakosa.

Hiki ndio kimemgharimu Kamanda wa Anga ingawa hakuwa na kosa(udhaifu wa Mama unahusika), na ndio sasa kinaanza kuwagharimu kundi la Mwendazake wanaomlinganisha na Mwendazake kwa style ya kuonyesha kuwa Mama hatoshi..

Hata hii vita anayoianzisha sasa ni baada ya kuona aliowalinda ama hawana shukurani au wanataka kumgombanisha na wananchi kuwa hayuko serious vinginevyo wasingeguswa.

Mnaweza msinielewa, ila muda utawasaidia kumuelewa
Huna lolote

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Kwa hili la Mbowe mama kaingia mkenge kujipakaza kinyesi cha Magufuli.

Kwakuwa DPP ni wake aifute hiyo kesi tupunguze chuki katika Taifa.

Akichukiwa na upinzani na akichukiwa na nusu ya ccm ambao walikuwa wakiamini Magufuli ni kama mungu wao, mama hatoboi, parapanda litalia tu kwenda mawinguni.

Salama yake sasa hivi awapooze majeraha wapinzani watasimama naye dhidi ys uhujuma za Sukuma gang na kuwapasuwa kabisa watu kama Chakubanga.

Chakubanga anatamba sasa hivi kwa sababu upinzani roho zao zimeingia kutu, hawawezi kudeal na Chakubanga wanaona bora Chakubanga aendelee kumdharau na kumuhujumu mama tu maana mama mwenyewe hasomeki amekubali kutumika kijinga.
Sio DPP kufuta kesi tu bali kuhakikisha kina Kingai, Jumanne, Goodluck, Mahita na wengine wa aina hiyo wanashughulikiwa kwa mujibu wa Sheria za Nchi. Na wale wote walioumizwa nao walipwe fidia.
 
Mtaandika nyuzi nyingi nyie wasukuma, mungu wenu wa Chato ndiyo huyo anazidi ku rot in hell, hamna namna
Hivi huwa mmelalia chimpumu kabla ya kuingia JF? Tangu lini Salary Slip wakawa wapenzi wa JPM? Huyu ni chadema na mtu aliyecheza mdundiko JPM alivyokufa na mpaka leo hapendi hata kutusikia wafuasi wa JPM. Kumuita mfuasi wa JPM inaonesha unavyokurupuka na mning’inio juu wa kangara.

Kwako kishina cha mshahara, leo umefunuliwa na bado
 
Kwa hili la Mbowe mama kaingia mkenge kujipakaza kinyesi cha Magufuli.

Kwakuwa DPP ni wake aifute hiyo kesi tupunguze chuki katika Taifa.

Akichukiwa na upinzani na akichukiwa na nusu ya ccm ambao walikuwa wakiamini Magufuli ni kama mungu wao, mama hatoboi, parapanda litalia tu kwenda mawinguni.

Salama yake sasa hivi awapooze majeraha wapinzani watasimama naye dhidi ys uhujuma za Sukuma gang na kuwapasuwa kabisa watu kama Chakubanga.

Chakubanga anatamba sasa hivi kwa sababu upinzani roho zao zimeingia kutu, hawawezi kudeal na Chakubanga wanaona bora Chakubanga aendelee kumdharau na kumuhujumu mama tu maana mama mwenyewe hasomeki amekubali kutumika kijinga.
Rubbish
 
Kwa baadhi ya mambo, Mama huchukua hatua sio kwa kusukumwa na dhamira njema, bali husukmwa na nafsi ya ngoja niwaonyeshe/nimuonyeshe mimi ni nani au si anajifanya/wanajifanya wajanja ngoja sasa niwaonyeshe.

Kwa kifupi, Mama akihisi(hata kimakosa) kuwa anadharauliwa, watu wanampanda kichwani au anagombanishwa na wananchi, anajenga chuki na kisasi na utaona mtu au watu fulani wanashughulikiwa kitu ambacho sio sahihi.

Yaani kwa mama, unaweza fanya mambo ya hovyo ila kama anaamini unamuheshima, basi utabaki salama.

Halikadhalika, unawaze kuwa unafanya jambo jema ila kama atahisi unamdharau, unam-pressurize,n.k, ataagiza au atabariki ushughulikiwe.

Kwa maneno mengine, hana au amekosa standard katika utendaji wake kwa baadhi ya mambo(sio mtu wa principle).Ni mtu anaendeshwa na matukio kwa kusikiliza hiki na kile then ana-react na bahati mbaya sometimes ana-react kimakosa.

Hiki ndio kimemgharimu Kamanda wa Anga ingawa hakuwa na kosa(udhaifu wa Mama unahusika), na ndio sasa kinaanza kuwagharimu kundi la Mwendazake wanaomlinganisha na Mwendazake kwa style ya kuonyesha kuwa Mama hatoshi..

Hata hii vita anayoianzisha sasa ni baada ya kuona aliowalinda ama hawana shukurani au wanataka kumgombanisha na wananchi kuwa hayuko serious vinginevyo wasingeguswa.

Mnaweza msinielewa, ila muda utawasaidia kumuelewa
Sisi tuliishamuelewa siku nyingi wakati huo ninyi mnasema anaupiga mwingi.
 
JPM ndio mchawi, kaja kuuwa mifumo na kusema katiba si kipaumbele chake.

Aliitawala Tanzania kwa mkono wa chuma ma kuigeuza nchi ni mali yake binafsi.

Anatembea na begi limejaa pesa atagawa kwa ampendaye yeye, hazina ya Taifa aligeuza ni mali yake binafsi.

Serikali ikifanya jambo lolote anasema yeye ndio ametowa.

Bado naendelea kutowa sadaka ya shukrani kwa Mungu kutuondolea jahiri huyu na jitu katili kabisa.
Kwenye miaka 60 ya uhuru ya jpm ni mitano tu. Kama utamlaumu sana basi kunatatizo
 
Hivi huwa mmelalia chimpumu kabla ya kuingia JF? Tangu lini Salary Slip wakawa wapenzi wa JPM? Huyu ni chadema na mtu aliyecheza mdundiko JPM alivyokufa na mpaka leo hapendi hata kutusikia wafuasi wa JPM. Kumuita mfuasi wa JPM inaonesha unavyokurupuka na mning’inio juu wa kangara.

Kwako kishina cha mshahara, leo umefunuliwa na bado
Siyo kazi yangu kukariri nani shabiki wa nani. Najibu hoja kwa namna inavyokuja
 
Unaufahamu Mkuu suala la ubaguzi uliasisiwa na huyo usiyetaka atajwe. Watu wana maumivu makubwa sana hasa Kisiasa na Kiuchumi. Raia walibaguliwa kwakuwa tu ni Wapinzani. Watu waliporwa Fedha zao kwakudhaniwa tu Wana msaada Kwa Wapinzani. Sasa mbegu hiyo imeshaota tena Kwa kasi kubwa ndani ya Chama Tawala na Serikali yake. Hakuna kuheshumiana tena. Kuna mpasuko mkubwa sana unaosababishwa na kundi fulani.

Kinachopaswa kufanyika hivi sasa ni kuhakikisha Katiba hii hii mbovu tulionayo inaheshimiwa. Kiongozi alioko Madarakani aongoze kwa HAKI na kufuata SHERIA za Nchi asionee mtu kwakuwa ana Madaraka. Akifanya hivyo haya mambo ya Uchama yatatoweka na hapo tutajenga Nchi yetu kwa pamoja.
Umetoa ya moyoni ndugu yangu lakini bado tuna ushabiki sana katika ujenzi wa hoja juu ya Rais aliepita na huyu tulie nae. Rais aliepita ndio engineer wa mifumo ya hovyo coz serikalii yake ilikuwa na opportunists wengi sana mpaka maprofesa wakongwe kama mzee jalalani. Kumbuka kaka serikalii ni ileile aliebadilika na Rais tu wateule wengi ni walewale hivyo we expect the narrow change. Wakati huu ni bora tumalize tofauti zetu, tuwe pamoja ili tujue ni wapi tulikosea na nini kifanyike ili kuondoa mizizi ya kutukuza individuals badala ya taifa
 
Mama amewalea na kuwadekeza sana hawa sukuma gang na hilo ndio kosa lake,alipaswa kuwapiga chini mapema saana ili wasimsumbue.

Wameshajua udhaifu wake kuwa anawaogopa na wanatumia hiyo kama fimbo ya kumchapa.
Achague moja tu kusuka or kunyoa,yaani akubali kupelekeshwa na hao sukuma gang ili wamuharibie aonekane hafai au awatimue wote na kuwadhibiti kwa nguvu ili kuwanyamazisha aongoze vyema.
 
Nionavyo mimi, kama umekubali kufanya nae kazi Kumheshimu ni jambo moja la lazima litakalokuwezesha kufanya nae kazi na kumshauri kwa yale unayoona yanahitaji ushauri

Ukishamdharau atajua na lazima akushushughulikie maana wewe humfai wala hujawa msaada kwake
Mama D nimekuelewa sana tatizo la Hangaya kichwani mtupu sasa ukimshauri kitaalamu anaona unamdharau
Hukuona yaliomkuta Mkenda?
Wazee wa kazi kama Mwigulu wamemjulia wanamshauri kile anachotaka kusikia vingine wanamuacha kwenye document wanajua hata soma hata iweje ije jua inyeshe mvua
 
Kwa baadhi ya mambo, Mama huchukua hatua sio kwa kusukumwa na dhamira njema, bali husukmwa na nafsi ya ngoja niwaonyeshe/nimuonyeshe mimi ni nani au si anajifanya/wanajifanya wajanja ngoja sasa niwaonyeshe.

Kwa kifupi, Mama akihisi(hata kimakosa) kuwa anadharauliwa, watu wanampanda kichwani au anagombanishwa na wananchi, anajenga chuki na kisasi na utaona mtu au watu fulani wanashughulikiwa kitu ambacho sio sahihi.

Yaani kwa mama, unaweza fanya mambo ya hovyo ila kama anaamini unamuheshima, basi utabaki salama.

Halikadhalika, unawaze kuwa unafanya jambo jema ila kama atahisi unamdharau, unam-pressurize,n.k, ataagiza au atabariki ushughulikiwe.

Kwa maneno mengine, hana au amekosa standard katika utendaji wake kwa baadhi ya mambo(sio mtu wa principle).Ni mtu anaendeshwa na matukio kwa kusikiliza hiki na kile then ana-react na bahati mbaya sometimes ana-react kimakosa.

Hiki ndio kimemgharimu Kamanda wa Anga ingawa hakuwa na kosa(udhaifu wa Mama unahusika), na ndio sasa kinaanza kuwagharimu kundi la Mwendazake wanaomlinganisha na Mwendazake kwa style ya kuonyesha kuwa Mama hatoshi..

Hata hii vita anayoianzisha sasa ni baada ya kuona aliowalinda ama hawana shukurani au wanataka kumgombanisha na wananchi kuwa hayuko serious vinginevyo wasingeguswa.

Mnaweza msinielewa, ila muda utawasaidia kumuelewa
Tuna bahati mbaya sana kuongozwa na watu wawili wasio na sifa za urais mfululizo
 
Kwa hiyo kila anayemuunga mkono JPM ni msukuma. Unasema si kazi yako kukariri lakini umekariri wasukuma. Pole sana.
Siyo kazi yangu kukariri nani shabiki wa nani. Najibu hoja kwa namna inavyokuja
 
Kwa baadhi ya mambo, Mama huchukua hatua sio kwa kusukumwa na dhamira njema, bali husukmwa na nafsi ya ngoja niwaonyeshe/nimuonyeshe mimi ni nani au si anajifanya/wanajifanya wajanja ngoja sasa niwaonyeshe.

Kwa kifupi, Mama akihisi(hata kimakosa) kuwa anadharauliwa, watu wanampanda kichwani au anagombanishwa na wananchi, anajenga chuki na kisasi na utaona mtu au watu fulani wanashughulikiwa kitu ambacho sio sahihi.

Yaani kwa mama, unaweza fanya mambo ya hovyo ila kama anaamini unamuheshima, basi utabaki salama.

Halikadhalika, unawaze kuwa unafanya jambo jema ila kama atahisi unamdharau, unam-pressurize,n.k, ataagiza au atabariki ushughulikiwe.

Kwa maneno mengine, hana au amekosa standard katika utendaji wake kwa baadhi ya mambo(sio mtu wa principle).Ni mtu anaendeshwa na matukio kwa kusikiliza hiki na kile then ana-react na bahati mbaya sometimes ana-react kimakosa.

Hiki ndio kimemgharimu Kamanda wa Anga ingawa hakuwa na kosa(udhaifu wa Mama unahusika), na ndio sasa kinaanza kuwagharimu kundi la Mwendazake wanaomlinganisha na Mwendazake kwa style ya kuonyesha kuwa Mama hatoshi..

Hata hii vita anayoianzisha sasa ni baada ya kuona aliowalinda ama hawana shukurani au wanataka kumgombanisha na wananchi kuwa hayuko serious vinginevyo wasingeguswa.

Mnaweza msinielewa, ila muda utawasaidia kumuelewa
Ni dhaifu balaa yani utafikiria raisi wa wasafi
 
We mzanzibar acha matusi
Utachekwa na wanaonijua duuh yaani umeamua kunihamisha na kunipeleka Zanzibar ?!! 🤣🤣

Kumbe tulipokuwa tunamsapoti JPM hatukuwa wazanzibari isipokuwa kipindi hiki tu ha ha ha
 
Hivi mnadhani magufuri wakati nakiwa makali mnadhani alokuwa anapenda sana
Yule alikuwa mdhaifu zaidi ya huyu... (na kwa jinsi ccm walivyo na mifumo ya kulindana hatokaa atokee bora upande wao)!
Viongozi wa kiccm wamekaa kubebana kitimu na kulinda maslahi ya kikanda...
Fake, incompetent and unrealistic power mongers
 
Unamuonea Mama bure tu kwa sababu yeye mwenyewe alishakiri mbele ya uma wa Watanzania kuwa hakujiandaa kuwa Rais.

Kama wewe ni mtu mzuri kama mimi mshauri Mama ajiuzulu hiyo nafasi ya Urais kwa sababu alishakiri yeye mwenyewe kuwa hakujiandaa kuwa Rais.
i87hbvgfdmage12.jpg
 
Kwa baadhi ya mambo, Mama huchukua hatua sio kwa kusukumwa na dhamira njema, bali husukmwa na nafsi ya ngoja niwaonyeshe/nimuonyeshe mimi ni nani au si anajifanya/wanajifanya wajanja ngoja sasa niwaonyeshe.
Tabia za kwenye mitala hizi, analeta kwenye mambo ya nchi tena.. tumepigwa..
 
Back
Top Bottom