Mama yetu adhalilishwa

Mbona kama anafanya kwa hiari yake mwenyewe?
 
Mbona nashindwa kuelewa ukimuangalia usoni anaonekana ni binti lakini ukiangalia difu imechoka kweli...hii picha inachanganya kwa kweli.
 
Mbona hamuoni kibibi kinajipa raha na castle laga
 
lina map...a mazuri......
Inahitaji uwe na moyo wa spea kuyaona hayo, maana mie nime-click back button fasta fasta baada tu ya kuliona hiloo...sijui ndo tuliiteje.
 

hayo matukio morogoro yamekuwa yakitokea mara nyingi tu, hili si la kwanza. Hawa wanaojiitaga wanahaki za binadamu wako wapi????? Hawaoni kama huyu anadharirisha watoto hapa?? Ina maana hawajaliona hili?? Tumekuwa tukiyashuhuudi ndani ya ukumbi, lakini sasa hivi wanasasambua mchana kweupe na sehemu ya wazi. Hapo jamhuri imedharirishwa, wahusika chukueni hatua
 
Kama picha duka vile! Uso hauendani na kiwili wili!
 

Wengine msilete post za ajabu,huyo mama kadhalilishwa na nani??msitake kuleta ligi zisizo na msingi haihitaji hata kufika darasa la nne kujua kuwa yeye kaamua kufanya hivyo kwa akili zake timamu!!!unamsemea kama nani??anatambua kuna magazeti ya udaku,mitandao nk hivyo kama unataka kulitumia neno 'kudhalilika' sema kuwa amejidhalilisha mwenyewe japo mlengwa mwenyewe ukimwambia hivyo atakushushua
 
Huyu hajadhalilishwa na mtu yeyote isipokuwa kajidhalilisha yeye mwenye kwa ujinga wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…